Okwaaa
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 1,332
- 2,963
Ngoja nikajifariji jukwaa la vituko mitandao huko🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 ndo mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikajifariji jukwaa la vituko mitandao huko🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 ndo mpira.
😂😂😂 ni bora Mkuu.Ngoja nikajifariji jukwaa la vituko mitandao huko🤣🤣🤣🤣
Imekuaje tena jamani , nimeacha mnaongoza naona FT 1-1Daah!!
Oooh!! Kila la kheri katika kuutwaa Mtani.Kwasababu hakuna club inaubeba sio ? Kama ipo basi kinawezekana , pale Kinshasa kushinda si utani
Kwa mtazamo wako , nani alipaswa toka mapema mkuu ?Pamoja na refa kuwa kimeokoa,bado hii point moja amesababisha kocha wetu......amechelewa kufanya maamuzi mapema
Kocha amekosa msaidizi,nadhani Mwambusi alikuwa anamsaidia zaidiKudadeq tumechezea nafasi nyingi sana
Tuseme za ukweli, Uchezaji wa Yanga unaboa sanaa, huwezi kuenjoy mpira kabisaaa😂😂😂 ni bora Mkuu.
Yasin Mustafa aliunawa ndani ya boksi hivyo Mbeya City wakapata penalti.Imekuaje tena jamani , nimeacha mnaongoza naona FT 1-1
Fiston hakutakiwa hata kuanza kabisa,Kaseke mechi hii ilimuhitaji tangu dk ya kwanzaKwa mtazamo wako , nani alipaswa toka mapema mkuu ?
Ni mbeya sio darDaah!!
Yaani waeza udhika saa ingine.Tuseme za ukweli, Uchezaji wa Yanga unaboa sanaa, huwezi kuenjoy mpira kabisaaa
Haya matokeo sidhan kama yanawaumiza , lait kama Azam angekufa , hiyo pressure mngekua nayo Leo isiingelezeka hahahahaYasin Mustafa aliunawa ndani ya boksi hivyo Mbeya City wakapata penalti.
Pole mtani, ulikuwa umeshapata nafuu, mara penati 😂Daah!!
Hahahaaa!! Haya bana.Ni mbeya sio dar
Kocha akihojiwa atasingiziwa maji🤣🤣🤣
DuuhFiston hakutakiwa hata kuanza kabisa,Kaseke mechi hii ilimuhitaji tangu dk ya kwanza
Kweli kabisa. Naona Kocha analeta Utaifa sio bure kwani Fiston bado aisee.Fiston hakutakiwa hata kuanza kabisa,Kaseke mechi hii ilimuhitaji tangu dk ya kwanza
Mwambusi angemsaidia nini pale?, wachezaj wamepambana na nafasi wametengeneza, shida walikosa bahati ya kufungaKocha amekosa msaidizi,nadhani Mwambusi alikuwa anamsaidia zaidi