Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kwahiyo unataka tusifie wakati anachemka? Mkuu tunahitaji saizi 3points na siyo kumsubilia mtu akriki......na si lazima aanze......kuna watu wanasema tunahujumiwa Yanga,ila binafsi naona wanaotuhujumu na kuturudisha nyuma ni washambuliaji wetu.......bora Yaccuba na Saido wapone wanakitu cha ziada......ila Fiston aanze kuingia kidogo kidogo kwenye timu na siyo anaanza anaruka ruka tuI hope you will keep the same energy pindi atakapo anza kushnda game after game
Saivi umeongea kimchezo mkuu japo hamna team duniani ishawah chukua ubingwa kwa 100% win rateKwahiyo unataka tusifie wakati anachemka? Mkuu tunahitaji saizi 3points na siyo kumsubilia mtu akriki......na si lazima aanze......kuna watu wanasema tunahujumiwa Yanga,ila binafsi naona wanaotuhujumu na kuturudisha nyuma ni washambuliaji wetu.......bora Yaccuba na Saido wapone wanakitu cha ziada......ila Fiston aanze kuingia kidogo kidogo kwenye timu na siyo anaanza anaruka ruka tu
Yeah.....nikweli changamoto lazima uzipate ili ufikie malengo yako......Saivi umeongea kimchezo mkuu japo hamna team duniani ishawah chukua ubingwa kwa 100% win rate
Hao watu ( Saido & Yacouba) muhmu mno na nafikiri Kama watarudi fiston anaweza akapata nafasi za kufunga..
Matatizo utopolo yamalizeni wenyeweWaliosema hayo ndiyo uwalete hapa
Ubingwa wa umbea ila vpl sahauniSwala la ubingwa ni constant kwetu, Hilo halina mjadala
Nini kimekuleta huku mtoto wakiume?Matatizo utopolo yamalizeni wenyewe
Sifa kubwa ya team kuwa bingwa ni kuchukua point kwenye teams ambazo yuko nazo kwenye mbio za ubingwaUbingwa wa umbea ila vpl sahauni
Sifa kubwa ya team kuwa bingwa ni kuchukua point kwenye teams ambazo yuko nazo kwenye mbio za ubingwa
Yanga vs Azam tiari 3
Yanga vs Simba tiari 1
Total 4
Simba vs Azam 1
Simba vs Yanga 1
Total 2
Huwez kuwa bingwa Kama huwezi wa piga unaoshindana nao
Mechi inayofata Yanga na nani na lini?Usijidanganye Yanga hawezi kuwa Bingwa msimu huu, ni suala la Muda tu kukaa hapo juu munapojifanya munaongoza Ligi.
Subiri tuweke level kwenye michezo ya kucheza ndiyo mutajua nafasi yenu muliyopo.
Saido?
Yacouba?
Carlinhos?
Haruna?
Hivi Yanga tuna daktari au nurse
Kama nakuona ulivyoshangilia. Teh
Ila ndo hivyo Mtani mpira ni mchezo wa makosa. Tunaganga ya Kagera Sugar sasa.
WAKATI MWINGINE INASIKITISHA SANA
Ditram nchimbi alisajiliwa baada ya kuifunga yanga goli 3 katika mechi moja msimu wa 2019/2020 alimaliza msimu na goli 6 tu
Mara ya mwisho mshambuliaji huyu kuifungia timu yake katika ligi n February mwaka Jana
Maana yake ana mwaka mmoja hajawah funga goli katika ligi lakn ndyo mshambuliaji tegemeo wa wa yanga ana miez 12 hajafumania nyavu
Kwenye hii match fiston na kocha wake wameuza kabisa
Mtani we si wa kukata tamaa, we ndio mwandamizi wa Utopolo fcAcha kabisa. Mie nilishajikatia tamaa.
Mkuu msimu huu mbona utapata maumivu double double. Huku Yanga bingwa ughaibuni unapelelekewa moto. Hapo hakuna rangi utaacha kuionaUna akili timamu halafu unajipa false hope kuwa Yanga Bingwa! Nayo ni katika maajabu haya.
BookmarkedUsijidanganye Yanga hawezi kuwa Bingwa msimu huu, ni suala la Muda tu kukaa hapo juu munapojifanya munaongoza Ligi.
Subiri tuweke level kwenye michezo ya kucheza ndiyo mutajua nafasi yenu muliyopo.