Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

I hope you will keep the same energy pindi atakapo anza kushnda game after game
Kwahiyo unataka tusifie wakati anachemka? Mkuu tunahitaji saizi 3points na siyo kumsubilia mtu akriki......na si lazima aanze......kuna watu wanasema tunahujumiwa Yanga,ila binafsi naona wanaotuhujumu na kuturudisha nyuma ni washambuliaji wetu.......bora Yaccuba na Saido wapone wanakitu cha ziada......ila Fiston aanze kuingia kidogo kidogo kwenye timu na siyo anaanza anaruka ruka tu
 
Saivi umeongea kimchezo mkuu japo hamna team duniani ishawah chukua ubingwa kwa 100% win rate

Hao watu ( Saido & Yacouba) muhmu mno na nafikiri Kama watarudi fiston anaweza akapata nafasi za kufunga..
 
Saivi umeongea kimchezo mkuu japo hamna team duniani ishawah chukua ubingwa kwa 100% win rate

Hao watu ( Saido & Yacouba) muhmu mno na nafikiri Kama watarudi fiston anaweza akapata nafasi za kufunga..
Yeah.....nikweli changamoto lazima uzipate ili ufikie malengo yako......
 
Sifa kubwa ya team kuwa bingwa ni kuchukua point kwenye teams ambazo yuko nazo kwenye mbio za ubingwa
Yanga vs Azam tiari 3
Yanga vs Simba tiari 1
Total 4
Simba vs Azam 1
Simba vs Yanga 1
Total 2
Huwez kuwa bingwa Kama huwezi wa piga unaoshindana nao

Usijidanganye Yanga hawezi kuwa Bingwa msimu huu, ni suala la Muda tu kukaa hapo juu munapojifanya munaongoza Ligi.
Subiri tuweke level kwenye michezo ya kucheza ndiyo mutajua nafasi yenu muliyopo.
 
Usijidanganye Yanga hawezi kuwa Bingwa msimu huu, ni suala la Muda tu kukaa hapo juu munapojifanya munaongoza Ligi.
Subiri tuweke level kwenye michezo ya kucheza ndiyo mutajua nafasi yenu muliyopo.
Mechi inayofata Yanga na nani na lini?
 
Kama nakuona ulivyoshangilia. Teh

Ila ndo hivyo Mtani mpira ni mchezo wa makosa. Tunaganga ya Kagera Sugar sasa.

Vipi ile Rufaa yenu iliyopelekwa CAS/FIFA mumeshapewa majibu? Si munasubiri Simba apokonywe points zake zote?
 
WAKATI MWINGINE INASIKITISHA SANA

Ditram nchimbi alisajiliwa baada ya kuifunga yanga goli 3 katika mechi moja msimu wa 2019/2020 alimaliza msimu na goli 6 tu

Mara ya mwisho mshambuliaji huyu kuifungia timu yake katika ligi n February mwaka Jana

Maana yake ana mwaka mmoja hajawah funga goli katika ligi lakn ndyo mshambuliaji tegemeo wa wa yanga ana miez 12 hajafumania nyavu

Sasa ndiyo mujue kuwa Eymael alipowaita "UNEDUCATED" alikuwa sahihi.
 
Hii Timu lau ingeacha Ushamba na ikakumbatia ustaarabu na kuamini kuwa Nyakati zimeshabadilika basi ingekuwa nzuri sana.

Imagine Simba wanatafuta mbinu mpya kila siku kuendana na wakati, lakini nyinyi mumekumbatia Historia hiyo eti 'Mabingwa wa Kihistoria' alaaa! Historia itawasaidia nini nyinyi wakati watu tupo Karne nyengine hii?
Baada ya kubuni vitu vya maana na kujenga Timu eti munakuja na "Media Day"!!!
Angalau ile siku ya wananchi muliyoiga Simba Day basi inamake sense.

Badilikeni acheni kuendesha Timu kizamani.

Tupo Angani tunakuja Tanzania kutokea Congo.
 
Usijidanganye Yanga hawezi kuwa Bingwa msimu huu, ni suala la Muda tu kukaa hapo juu munapojifanya munaongoza Ligi.
Subiri tuweke level kwenye michezo ya kucheza ndiyo mutajua nafasi yenu muliyopo.
Bookmarked
 
Back
Top Bottom