Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Kwahiyo unataka tusifie wakati anachemka? Mkuu tunahitaji saizi 3points na siyo kumsubilia mtu akriki......na si lazima aanze......kuna watu wanasema tunahujumiwa Yanga,ila binafsi naona wanaotuhujumu na kuturudisha nyuma ni washambuliaji wetu.......bora Yaccuba na Saido wapone wanakitu cha ziada......ila Fiston aanze kuingia kidogo kidogo kwenye timu na siyo anaanza anaruka ruka tuI hope you will keep the same energy pindi atakapo anza kushnda game after game