Jamani hivi hizi beki leo mnazielewa? [emoji853][emoji853][emoji853]
Mbona beki wapo vizuri tu.Jamani hivi hizi beki leo mnazielewa? πππ
kwani mmeelemewa sanaNa hapa wakitupiga la tatu ndo basi.
Cheka tu Mtani. Nafanyeje sasa. Lol.HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
Yaani hadi natamani umeme ukatike hapa kwangu. Lol.Yanga 1 kagera 2 duuπ
Kawaida tu.
Haya Mtani wacha na mie nicheke. LolHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA.
Mm huwa sina sifa ya kuangalia mpira huu, we ngoja kidg tu mana hata geto sijapika, yani nina sababu kubwa sana za kuondoka hapa kibanda umizaππYaani hadi natamani umeme ukatike hapa kwangu. Lol.
Mana ni aibu kwani wajomba zako ni Simba wanashangiliaje. πππ
Kipi huelewi Mkuu?Ndio maana ligi ya Bongo siielewi kabisa
Tumeshakomboa ujue. πππMm huwa sina sifa ya kuangalia mpira huu, we ngoja kidg tu mana hata geto sijapika, yani nina sababu kubwa sana za kuondoka hapa kibanda umizaππ
Hahahaa. Nimecheka kwa sauti. LolKagera sugar ni Mazezeta ya mwisho.