Tunataka tuweke kumbukumbu sawa
Ujue hadi nimecheka. Lol.Tunataka tuweke kumbukumbu sawa
First half mmezulumiwa wapi na wapi ??
Tumejikaza sana Ntani ila naona nyavu hazijaamua kucheka na sisi.Ntani, jikazeni , hii mechi imeshika hatima yenu ya ubingwa ujue
Nakutafuta sanaWameingia Farid na Fiston
Wametoka Sarpong na Kaseke
Niende wapi mie Rafiki. Nipo mbona.Nakutafuta sana
Kuja pm chapNiende wapi mie Rafiki. Nipo mbona.
Ndo kusema unaongea na simu ama. πππKidindaaaaaaa