Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210220_195200.jpg
 
Ntani, jikazeni , hii mechi imeshika hatima yenu ya ubingwa ujue
Tumejikaza sana Ntani ila naona nyavu hazijaamua kucheka na sisi.

Nasubiria 90 Mins na ndo zitaongea japo naona muda unavyozidi kusonga bila sisi kupata walau bao hii mapema basi si ajabu na mechi hii tukatoka suluhu.
 
Back
Top Bottom