Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kaze anaendelea kutuaminisha kwamba forward mkabaji Nchimbi Ni Bora kuliko carlinhos

Hii game ni rahisi sana kiasi kwamba Mukoko, Kisinda, Lamine, Kibwana hawatakiwi kuwa hata sub

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Kaze anaendelea kutuaminisha kwamba forward mkabaji Nchimbi Ni Bora kuliko carlinhos

Hii game ni rahisi sana kiasi kwamba Mukoko, Kisinda, Lamine, Kibwana hawatakiwi kuwa hata sub

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Matokeo vipi huko
 
Mkuu twende tukaomboleze Kule Liverpool tumepigwa tena nyumbani! Hapo ndipo hata hizi timu zetu tuziheshimu tu, kama Salah, Mane na Firminho hawawezi kufunga tena kwa nini tuwalaumu akina Nchimbi?
Nchimbi ana mwaka hajafunga halafu unamfananisha na Mo Salah
 
Tangu timu yetu ondoke Mwambusi, kila kitu kimechange, spirit imeshuka.......yaani nikama tunabahatisha tu......sioni kama tunaweza kuchallenge ubingwa this season.....nimeangalia hii mechi ya Kengold pale Uhuru leo, na kitimu kile kidogo kabisa, sioni mafanikio yoyote this season kama kutakuwa hakuna mabadiriko ya haraka.......kocha bado hawajui wachezaji wake,kila siku anatest test tu.......anyway soon naona hii safari ya kwenda uwanjani nitapumzika....kila siku sioni jipya kwa Kaze na Benchi lake.........
 
Naona yanga yangu ikiacha tena wachezaji lundo maana hakuna wanachoonesha na kocha naye siku zake znahesabika

Tunanunua wachezaj wa bei ya mishikaki na kachori unategemea ubingwa Hilo haliwezekani

Ukitoa wagonjwa wenye matatizo ya upumuaji kisukari na HIV kwa presha wanaofuata mashabiki wa YANGA hatuna furaha

Furaha yetu inategemea na Nugaz ameamkaje siku hiyo na si wachezaji maana hao wameshindwa tupa furaha matokeo yake wametuongezea hofu kubwa

Vipi tutaenda tena AIRPORT kuwapokea wachezaji wengne hawa wakitemwa maana sion wanachokifanya

#NUNA MWANAYANGA MWENZANGU
 
Ligi ikiisha kuna haja ya kuwatathimini kwa kina sana viongozi wetu. Kuna wengine hawafai kuwa viongozi Wa timu kubwa kama Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…