Hongera nimekuona!
Nipo Shadeeya wewe ndo huonekani.We ninyanyase tu Mtani. 🙃🙃
Hivi upogo ini zisi woldi mana umejua kuadimika ati?
Kuna saa mambo zinakuwa mingi Mtani.Nipo Shadeeya wewe ndo huonekani.
Hivi mlishapata kocha mpya?
Uto bana wachezaji wenu uwezo wao sio mkubwa lakini viongozi wenu wanawaamisha kuwa ni wazuri ,lakini uwanjani unona uhalisia ni kama Simba ilivokuwa mbovu 2015/2016 kwahiyo viongozi wenu hawa wakishaona ubingwa hauwezekani wanaleta hoja ya kuonewa na marefa Mara tff ya Simba ,goli gani yanga walifunga halali ikakatawliwa .jengeni timu ndugu tuwe na ligi boraYaaaani kwa akili hizi za Utopolo, Yanga itaendelea kua genge la wahuni.
Jaribu kukubali kua Simba saizi inafanya vizuri kitaifa na kimataifa ni kwa sababu ya uwekezaji wa MO.
Angalieni nyie Utopolo kipindi hicho mnachukua ubingwa Mara tatu mfululizo ( ubingwa wa Malinzi) Ndio maana mlikua hamfanyi vzri kimataifa.
Saizi mnasema Simba inapata ubingwa kisa TFF, Je Kwenye CAF championship TFF wapo? Maana ndani ya miaka mitatu Simba imeingia group stage Mara mbili. Kitu ambacho hakijawahi tokea kwenye timu za TZ,. Tafuteni mabadiliko, acheni kuwalalamikia TFF. Walalamikieni hata ambapo timu yenu inapata favour kutoka kwa marefa
Galasa la msimuMaandalizi ya mwendelezo wa Ligi yanaendelea kwa timu ya Wananchi.
View attachment 1737393