Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20210312_112208.jpg
 
Yaani nafasi yetu wanapata wajingawajinga kama namungo
Boss rudi boss, tudi umwage mahela tuwakomeshe hawa manyaunyau
 
Yaaaani kwa akili hizi za Utopolo, Yanga itaendelea kua genge la wahuni.
Jaribu kukubali kua Simba saizi inafanya vizuri kitaifa na kimataifa ni kwa sababu ya uwekezaji wa MO.
Angalieni nyie Utopolo kipindi hicho mnachukua ubingwa Mara tatu mfululizo ( ubingwa wa Malinzi) Ndio maana mlikua hamfanyi vzri kimataifa.
Saizi mnasema Simba inapata ubingwa kisa TFF, Je Kwenye CAF championship TFF wapo? Maana ndani ya miaka mitatu Simba imeingia group stage Mara mbili. Kitu ambacho hakijawahi tokea kwenye timu za TZ,. Tafuteni mabadiliko, acheni kuwalalamikia TFF. Walalamikieni hata ambapo timu yenu inapata favour kutoka kwa marefa
Uto bana wachezaji wenu uwezo wao sio mkubwa lakini viongozi wenu wanawaamisha kuwa ni wazuri ,lakini uwanjani unona uhalisia ni kama Simba ilivokuwa mbovu 2015/2016 kwahiyo viongozi wenu hawa wakishaona ubingwa hauwezekani wanaleta hoja ya kuonewa na marefa Mara tff ya Simba ,goli gani yanga walifunga halali ikakatawliwa .jengeni timu ndugu tuwe na ligi bora
 
Rasmi leo Klabu ya Wananchi imemtambulisha Razak Siwa kuwa kocha mpya wa magolikipa wa klabu yetu.

Karibu sana Razak Siwa kwa mara nyingine kwenye TimuYaWananchi.

#DaimaMbeleNyumaMwiko

20210329_182331.jpg
 
Back
Top Bottom