Uwe online hivi hivi Mtani. [emoji1787]
ππWaswahili wanasema 'mficha maradhi kifo humuumbua'
Mnyama Simba anakwenda kuwaumbua leo.
Simba nguvu moja
Saafi.Naanzaje kutoka online .View attachment 1838895
Vipi bado upo online? π€£π€£Naanzaje kutoka online .View attachment 1838895
Wera izi biriani. πππpuresha itoke wapi Shadeeya mi nasubiri kula biriani tu.
Simba nguvu moja
Simba bingwa
π€£π€£π€£Amkeni Amkeniii[emoji86][emoji86][emoji102][emoji102][emoji102]
πππ Pole Mkuu.Chama langu bwana...siku ukiwa na wasiwasi lenyewe ndo linakimbiza[emoji16]
Jamani huyu kibendera mumemuelewa mbona kwenye slomo pale alipokosa boko goli ye kaingia mpaka ndani.
Mstari kauacha. π€£π€£π€£
Chama langu bwana...siku ukiwa na wasiwasi lenyewe ndo linakimbiza[emoji16]
Hii ndio dawa ya watu wenye dharau yaani we unawaacha wapige tu kelele. πUmeonaaa mwanangu yan kama sio yanga[emoji23][emoji23][emoji23]
πππMbele ya Madam prezo mchecheto umemuingia. Wanaanza mbeleko