Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Rasmi jana klabu ya Yanga tumeingia makubaliano ya mkataba na Azam Media ya mashirikiano ya maudhui wenye thamani ya Shilingi bilioni 41 pamoja na VAT kwa kipindi cha miaka 10.

Makubaliano hayo yametiwa saini na Tido Mhando ambaye ni Afisa mtendaji mkuu wa Azam Media pamoja na Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Dkt. Mshindo Msolla
 
Hii chuma mnaionaje? Hapa kabla haijapimpiwa iko hivi je itapokuwa tayari imepakwa pakwa mapoda poda ya kijani na njano itakuwaje? Garage ya Azam wameahidi kufanya mauaji kwenye kuipiga mapodapoda! Hapa Kuna gari inaitwa Tata nzambe nangai nahisi itafichwa! Kwa kifupi sahizi Yanga mambo yao ni kama timu ya ulaya vile, Hasa uingereza![emoji1]. Asante Ghalib!
 
Hakuna basi humu
 
Aa yu siriazi buraza? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…