Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

KUMEKUCHA KUMEKUCHA 😀

Kikosi cha timu ya Wananchi kimetua salama asubuhi hii huko Kigoma tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa fainali ya kombe la #ASFC kwenye dimba la Lake Tanganyika Jumapili hii dhidi ya 5imba.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
20210722_090031.jpg
 
View attachment 1862955
Sijui kwanini nikiona Shadeeya kakomenti kuhusu mechi ya fainal ya ASFC naingiwa na huruma sana moyoni mwangu.
Naona kabisa hii mechi ni hatari kwa afya yako usijesema sikukuambia Shadeeya.

SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA ASFC
 
😀😀 hizi ndo kauli zako hivyo hata sishituki. 😀😀

Tukutane Kigoma

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Back
Top Bottom