Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
🤣🤣 Huzijuwi eti?kwani kuna khabari gani 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Huzijuwi eti?kwani kuna khabari gani 🙂
"Daima mbelee"[emoji8][emoji172]KUMEKUCHA KUMEKUCHA [emoji3]
Kikosi cha timu ya Wananchi kimetua salama asubuhi hii huko Kigoma tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa fainali ya kombe la #ASFC kwenye dimba la Lake Tanganyika Jumapili hii dhidi ya 5imba.
View attachment 1862955
Hakika Mkuu tunaenda kupiga tena pale pale panapouma."Daima mbelee"[emoji8][emoji172]
Hahahaaa. Hawana hamu naye.zawadi 🧯🧯🧯
😆😆😆 ngoja wapigwe tena. Watajifunza kituHahahaaa. Hawana hamu naye.
Kujipa faraja wanasema eti alibahatisha sa unajiuliza iweje nao wakakosa mbahatishaji. 🤣🤣🤣
Kweli Binamu yangu. Na nasikia kimeshanuka huko wanaanza kushikana uchawi. 😀😀😆😆😆 ngoja wapigwe tena. Watajifunza kitu
Sijui kwanini nikiona Shadeeya kakomenti kuhusu mechi ya fainal ya ASFC naingiwa na huruma sana moyoni mwangu.KUMEKUCHA KUMEKUCHA 😀
Kikosi cha timu ya Wananchi kimetua salama asubuhi hii huko Kigoma tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu wa fainali ya kombe la #ASFC kwenye dimba la Lake Tanganyika Jumapili hii dhidi ya 5imba.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
View attachment 1862955
Ndio sizijui zinahusu tozo ama?🤣🤣 Huzijuwi eti?
😀😀 hizi ndo kauli zako hivyo hata sishituki. 😀😀Sijui kwanini nikiona Shadeeya kakomenti kuhusu mechi ya fainal ya ASFC naingiwa na huruma sana moyoni mwangu.
Naona kabisa hii mechi ni hatari kwa afya yako usijesema sikukuambia Shadeeya.
SIMBA NGUVU MOJA
SIMBA BINGWA ASFC
Watajua hawajuii mwaka huuHakika Mkuu tunaenda kupiga tena pale pale panapouma.
Sawa tusubiri maajabu ya straiker wetu mzee mpili.😀😀 hizi ndo kauli zako hivyo hata sishituki. 😀😀
Tukutane Kigoma
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mtani naona mnampa umaarufu bure huyu mzee wakati mpira unachezwa uwanjani.Sawa tusubiri maajabu ya straiker wetu mzee mpili.
#DaimaSimanziMakombeMwiko.