Hii kitu hatari, nimeishuhudia ikitolewa bandarini. Kwani wale wa TATA wanasemaje?Hii chuma mnaionaje? Hapa kabla haijapimpiwa iko hivi je itapokuwa tayari imepakwa pakwa mapoda poda ya kijani na njano itakuwaje? Garage ya Azam wameahidi kufanya mauaji kwenye kuipiga mapodapoda! Hapa Kuna gari inaitwa Tata nzambe nangai nahisi itafichwa! Kwa kifupi sahizi Yanga mambo yao ni kama timu ya ulaya vile, Hasa uingereza![emoji1]. Asante Ghalib!View attachment 1848830