Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii chuma mnaionaje? Hapa kabla haijapimpiwa iko hivi je itapokuwa tayari imepakwa pakwa mapoda poda ya kijani na njano itakuwaje? Garage ya Azam wameahidi kufanya mauaji kwenye kuipiga mapodapoda! Hapa Kuna gari inaitwa Tata nzambe nangai nahisi itafichwa! Kwa kifupi sahizi Yanga mambo yao ni kama timu ya ulaya vile, Hasa uingereza![emoji1]. Asante Ghalib!View attachment 1848830
Hii kitu hatari, nimeishuhudia ikitolewa bandarini. Kwani wale wa TATA wanasemaje?
 
Kimeumana huko kumbe Barbara aliisaini mkataba wa TV rights na Azam wa milioni 385 Kwa mwaka wakati wa Yanga bilioni 3+ kwa mwaka..kye kye kye kyeeee[emoji1787][emoji1787]
Walisema after one week watatangaza na wao mkataba wao hivi kama ndo huu mkataba wenyewe watatangaza kweli kama Yanga walivyofanya?..
 
View attachment 1856423
Hiyo ndo inaitwa kutangulia sio kuwahi kufika na harakaharaka haina baraka. Kudadadeeeek huu mchepu wa Mo unawaingiza mkenge kwelikweli hawa manunu fc.
 
Kuna mtoto tangu aanze form 1 mpaka mwaka huu ana maliza form 4 hajawahi kuona Yanga ikichukua ubingwa wa ligi.
 
Vijana waliomaliza kidato cha Nne mwaka huu hawajawahi shuhudia Yanga ikibeba ubingwa wa ligi
 
Mara ya mwisho Yanga kuchukua Ubingwa wa Vpl Magoli yalikuwa yanafungwa kwa mkono.
IMG_20210720_020039.jpeg
 
Kimeumana huko kumbe Barbara aliisaini mkataba wa TV rights na Azam wa milioni 385 Kwa mwaka wakati wa Yanga bilioni 3+ kwa mwaka..kye kye kye kyeeee[emoji1787][emoji1787]
Walisema after one week watatangaza na wao mkataba wao hivi kama ndo huu mkataba wenyewe watatangaza kweli kama Yanga walivyofanya?..
View attachment 1856423
Kumbe ndio maana nimeona kwenye nyuzi huko mikia wanamtusi kitenge. 🤣🤣🤣🤣

Cc Troisième Ceil.
 
Back
Top Bottom