Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii kitu hatari, nimeishuhudia ikitolewa bandarini. Kwani wale wa TATA wanasemaje?
 
Kimeumana huko kumbe Barbara aliisaini mkataba wa TV rights na Azam wa milioni 385 Kwa mwaka wakati wa Yanga bilioni 3+ kwa mwaka..kye kye kye kyeeee[emoji1787][emoji1787]
Walisema after one week watatangaza na wao mkataba wao hivi kama ndo huu mkataba wenyewe watatangaza kweli kama Yanga walivyofanya?..
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo ndo inaitwa kutangulia sio kuwahi kufika na harakaharaka haina baraka. Kudadadeeeek huu mchepu wa Mo unawaingiza mkenge kwelikweli hawa manunu fc.
 
Kuna mtoto tangu aanze form 1 mpaka mwaka huu ana maliza form 4 hajawahi kuona Yanga ikichukua ubingwa wa ligi.
 
Vijana waliomaliza kidato cha Nne mwaka huu hawajawahi shuhudia Yanga ikibeba ubingwa wa ligi
 
Mara ya mwisho Yanga kuchukua Ubingwa wa Vpl Magoli yalikuwa yanafungwa kwa mkono.
 
Kumbe ndio maana nimeona kwenye nyuzi huko mikia wanamtusi kitenge. 🤣🤣🤣🤣

Cc Troisième Ceil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…