Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Umetoa wapi hizo kumbukumbu za Mnyama kupigwa tano taifa??
Kama ni dozi za nje ya nchi unaikumbuka RAJA CASABLANCA?? Naona una kumbukumbu fupi kama nukta.
 
Simba aka mnyama aka vijana wa Nyalusi aka wazee wa mpira wa kapeti aka wazee wa draft aka wazee wa tano bila WATAENDELEA KUWASUMBUAna kuchezea akili zenu.
SIMBARCELONA.
imebaki story tu....watabaki wanaisoma watoto wenu miaka ya baadae
 
ni siku nyingine tena kwa wapenzi na mashabiki wa ile show ya "kampa kampa tena" ambapo majira ya saa 10:00 jioni katika kiringe cha Mkapa Stadium watoto wa Jangwani watakuwa wakifanya yao

nitakuwepo hapa kuwajuza kila dk ya safari yetu ya kwenda kuchukua kijagi chetu cha VPL
 
Nimepita jangwani, sioni jitihada zozote za kuboresha club, kiwanja kibovu na jengo rangi yake imechakaa. Ni vema likatangazwa kama sehemu ya makumbusho ya mali kale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…