Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

na kuweka kumbukumbu sawa huo huo mwaka wa 2011-2012 ndo PAKASHUMI FC aka MBUMBUMBU FC aka MIKIA SC ndo mlibakwa na kufanyiwa udharirishaji wa kijinsia pale UWANJA WA TAIFA GUEST HOUSE na lile li timu la angola linajiita LIBOLO, kutokea wakati huo mna aleji na mashindano ya kimataifa
Umetoa wapi hizo kumbukumbu za Mnyama kupigwa tano taifa??
Kama ni dozi za nje ya nchi unaikumbuka RAJA CASABLANCA?? Naona una kumbukumbu fupi kama nukta.
 
Simba aka mnyama aka vijana wa Nyalusi aka wazee wa mpira wa kapeti aka wazee wa draft aka wazee wa tano bila WATAENDELEA KUWASUMBUAna kuchezea akili zenu.
SIMBARCELONA.
imebaki story tu....watabaki wanaisoma watoto wenu miaka ya baadae
 
528755619ba1406e3dcd2b7cc95a9178.jpg
vyura fc wanaojiita wakimataifa
 
ni siku nyingine tena kwa wapenzi na mashabiki wa ile show ya "kampa kampa tena" ambapo majira ya saa 10:00 jioni katika kiringe cha Mkapa Stadium watoto wa Jangwani watakuwa wakifanya yao

nitakuwepo hapa kuwajuza kila dk ya safari yetu ya kwenda kuchukua kijagi chetu cha VPL
 
Nimepita jangwani, sioni jitihada zozote za kuboresha club, kiwanja kibovu na jengo rangi yake imechakaa. Ni vema likatangazwa kama sehemu ya makumbusho ya mali kale.
 
Back
Top Bottom