barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Umetoa wapi hizo kumbukumbu za Mnyama kupigwa tano taifa??na kuweka kumbukumbu sawa huo huo mwaka wa 2011-2012 ndo PAKASHUMI FC aka MBUMBUMBU FC aka MIKIA SC ndo mlibakwa na kufanyiwa udharirishaji wa kijinsia pale UWANJA WA TAIFA GUEST HOUSE na lile li timu la angola linajiita LIBOLO, kutokea wakati huo mna aleji na mashindano ya kimataifa
Kama ni dozi za nje ya nchi unaikumbuka RAJA CASABLANCA?? Naona una kumbukumbu fupi kama nukta.