Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Lui Miquison kutua Jangwani Siku ya Wananchi !!! Wait n C.
Ha ha ha msiwatishe bwana wenzenu watatapika haiwezekani hiyo. Naamini yuko timamu hawezi kuja halafu asicheze mashindano ya kimataifa mana majina ya wachezaji wa nje yashaenda CAF na jina lake halipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…