Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wa ajabu kweli Nani kakwambia Luis kauzwa bei hiyo,wewe umepata Taarifa wapi?Naye mumuuze bil 2.1 basi
Kama wewe sio wa ajabu thibitisha kwamba hajauzwa kwa hiyo bei.Wewe wa ajabu kweli Nani kakwambia Luis kauzwa bei hiyo,wewe umepata Taarifa wapi?
Utopolo Marathon
Marathon fc
Watani kwani Mnateseka mkiwa wapi eti?Utopolo Marathon
wanariadha kazini.PRE SEASON INAENDELEA KWA TIMU YA WANANCHI NDANI YA MARRAKECH
View attachment 1901622
Huyo babu mnamchosha tu.
Hii sijui tuite no look chest au shoulder!?[emoji16]
Ha ha ha msiwatishe bwana wenzenu watatapika haiwezekani hiyo. Naamini yuko timamu hawezi kuja halafu asicheze mashindano ya kimataifa mana majina ya wachezaji wa nje yashaenda CAF na jina lake halipoLui Miquison kutua Jangwani Siku ya Wananchi !!! Wait n C.
Timu ya wanchi,timu kubwa zaidi nchini,timu pendwa kuliko zote nchini, wajenga nchi ni wananchi!!!Young Africa Sports Club
Ramos!KAZI IENDELEE
View attachment 1900262
Ha ha haHahahaaa!!! Kwa kweeli.
Japo Yannik Bangala inatosha Ntani. [emoji3]