Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mnakatamani ila kwa sasa uwezekano wa Luis kuchezea Yanga ni 0.0001% maana atakuwa amerudi nyuma kuchezea timu kama hii.
Wewe tuambie ukweli kuhusu Luis ameuzwa kwenda wapi au ametambulishwa kwenye timu gani? Manake mengine ni makelele tu ambaya hayajathibitishwa na upande wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…