Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Timu ya wanchi,timu kubwa zaidi nchini,timu pendwa kuliko zote nchini, wajenga nchi ni wananchi!!!
Yap yap.

Young_Africans_SC_(logo).png
 
Mnakatamani ila kwa sasa uwezekano wa Luis kuchezea Yanga ni 0.0001% maana atakuwa amerudi nyuma kuchezea timu kama hii.
Wewe tuambie ukweli kuhusu Luis ameuzwa kwenda wapi au ametambulishwa kwenye timu gani? Manake mengine ni makelele tu ambaya hayajathibitishwa na upande wowote
 
Back
Top Bottom