Kabisa kumenoga hasaa Mkuu.Nyumbani kumenogaa
Ya mzima kabisa waafyaaNjema kabisa naona umeibuka siku adhimu kabisa Mkuu.
Karibu tena natumai usalama upo.
Mwambieni mchukua picha anatukera sisi wananchi tulio kwenye TV haoneshi matukio muhimu yeye anaonesha mashabiki tu,kwa mfano kofii amemchukua nusunusu wanenguaje wake ndo hawajaonekana kabisa,anatukeraa abadalike harakaUmemuona Bugati? Shadeeya
[emoji23][emoji23][emoji23] Sina access yoyote bro na azam tvMwambieni mchukua picha anatukera sisi wananchi tulio kwenye TV haoneshi matukio muhimu yeye anaonesha mashabiki tu,kwa mfano kofii amemchukua nusunusu wanenguaje wake ndo hawajaonekana kabisa,anatukeraa abadalike haraka
Kuna uwezekano huyo mchukua picha ni shabiki wa Mwamedi FC!! Haiwezekani apuyange kiasi kile!! Bora hata saa hizi walau anajitahidi kubalance matukio!Mwambieni mchukua picha anatukera sisi wananchi tulio kwenye TV haoneshi matukio muhimu yeye anaonesha mashabiki tu,kwa mfano kofii amemchukua nusunusu wanenguaje wake ndo hawajaonekana kabisa,anatukeraa abadalike haraka
Ameboa sanaKuna uwezekano huyo mchukua picha ni shabiki wa Mwamedi FC!! Haiwezekani apuyange kiasi kile!! Bora hata saa hizi walau anajitahidi kubalance matukio!
All in all, Tamasha limefana mbaya!! Wananchi wamejitokeza kwa wingi mpaka inaogopesha!!
Naam swahiba,swahiba sikuoni hapa taifa!Yaani katuletea neno mujjarabu.
#Sisitunawatu.