Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Tunapaswa kucheza mechi nyingi za Kirafiki tena ngumu ngumu,tutaimarika sana,manake kilichotusumbua si wachezaji wabovu bali hakukuwa na uelewano mzuri kama timu
Uelewano mbn ulikuwepo kwa kiasi fulani, tumefungwa kimchezo, hasa baada ya kutoa wachezaji wengi ambao nahisi ndio first eleven yetu, kama tungeshinda ile mechi basi tungeogopwa mno na wapinzani, wangekuwa na stress sn cz tumecheza vizuri mnoo.
 
Hivi mgao wa mapato ya jezi baina ya yanga na gsm yakoje?
yeyote anaefahamu hili anisaidie tafadhali
 
Jana sijui ni kwa nini mwalimu hakumpanga hata David Bryson kule kushoto badala yake akampanga Kibwana ambae si natural left back japo alikiwasha sana pia. Tulihitaji tuone moja ya mabeki wetu Wa huko sana sana Bryson na Yassin
Yassin sidhani kama amepona ila uwezo wake tunaujua ni mkubwa.
 
Jana sijui ni kwa nini mwalimu hakumpanga hata David Bryson kule kushoto badala yake akampanga Kibwana ambae si natural left back japo alikiwasha sana pia. Tulihitaji tuone moja ya mabeki wetu Wa huko sana sana Bryson na Yassin
kabisa, angemuanzisha bryson hata kidogo
sema yule bangala ni bonge la mchezaj aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…