B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Mkuu vip kuhusu yacouba
Ila Yanga Tunakera asee, pumbavu zenu GSM na hilo limwenyekt lenu zezeta
Naomba utume na picha ya aliyetoa Mwiko nyuma[emoji28][emoji28][emoji28]
Amka pameshakucha[emoji1][emoji1][emoji1]Utabiri wangu leo:
Young Africans 4 : 0 Rivers United
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kukupa pole maana umeandika kwa uchungu mkubwa sana.ππππππ 90 ππ ππͺππ‘ππ πππ πππ¦ππ
:
Dakika 90 za kwanza Kocha Nasserdine Nabi amefeli kwenye Selection ya Team na kwenye SUB Alifeli kwa 95%
KIVIPI
β’β’β’β’β’β’β’β’
1. Adeyun Salehe:- Sijajua aliyependekeza kubaki kwake, hasitaili kuchezea Club yanga na Hakuna mjadala.
:
2. Zawadi Mauya:- Mpaka Dirisha linafungwa sijajua alibakia Yanga kufanya Nini! Anaidhalilisha Nembo ya Yanga anachokifanya ni upumbavu mtupu uwanjani, kama angekua na mkataba angerudi tu Kagera akazeekee kule.
:
3. Kocha naona kibarua kitamuozea mapema sana, Unamuachaje mtu kama Saido,Bangala,Kaseke wakae Benchi ilihali Timu inazidiwa??
:
4. Kibwana Shomari anataka kuiga Uchezaji wa Djuma Shabani, Kwanini usicheze kwa style yako uliyoizoea??
:
5. Sijajua Kinachomuweka Nje David Bryson mpaka Leo hii, kama hana Match fitness alisajiliwa ili atumike lini?? Madactari wanafanya kitu Gani mpaka Leo hii!!
Hakuna kitu wanachokosewa wanayanga kama mambo yanayoendelea sasa, Picking ya Coach inaanza kufeli mapema....
Team Kushinda ni Jukumu lenu na kulaumiwa hatuachi mpaka mjue Mmebeba furaha ya wananchi wangapi, Haiwezekani Mtu unalipwa vizuri, unakula vizuri, Unalala pazuri alafu unachofanya uwanjani ni Utumbo wa mbwa kabisa
:
Atakaesema Lawama za Nini kwanini tusiwalaumu wakati walisajiliwa waje waitumikie Team yetu kwa jasho na damu!
:
Atakaeleta Masihara naomba Uongozi usiwachekee ni kufukuza tu wakafanye shughuli walizozaliwa nazo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili timu bora tubadilishe na gunia la viazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili timu bora tubadilishe na gunia la viazi
Kwa Nigeria sidhani aisee.Tupo bado sana aisee! Any ways kwa kuwa kwenye mpira kuna maajabu tuamini katika hilo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!!! Mkuu inahitaji moyo kuamini kwamba twaeza toboa kule aisee.Hakuna uwezekano huo mkuu.
Tena Kocha kwenye sub ndo alichemsha mbaya.ππππππ 90 ππ ππͺππ‘ππ πππ πππ¦ππ
:
Dakika 90 za kwanza Kocha Nasserdine Nabi amefeli kwenye Selection ya Team na kwenye SUB Alifeli kwa 95%
KIVIPI
β’β’β’β’β’β’β’β’
1. Adeyun Salehe:- Sijajua aliyependekeza kubaki kwake, hasitaili kuchezea Club yanga na Hakuna mjadala.
:
2. Zawadi Mauya:- Mpaka Dirisha linafungwa sijajua alibakia Yanga kufanya Nini! Anaidhalilisha Nembo ya Yanga anachokifanya ni upumbavu mtupu uwanjani, kama angekua na mkataba angerudi tu Kagera akazeekee kule.
:
3. Kocha naona kibarua kitamuozea mapema sana, Unamuachaje mtu kama Saido,Bangala,Kaseke wakae Benchi ilihali Timu inazidiwa??
:
4. Kibwana Shomari anataka kuiga Uchezaji wa Djuma Shabani, Kwanini usicheze kwa style yako uliyoizoea??
:
5. Sijajua Kinachomuweka Nje David Bryson mpaka Leo hii, kama hana Match fitness alisajiliwa ili atumike lini?? Madactari wanafanya kitu Gani mpaka Leo hii!!
Hakuna kitu wanachokosewa wanayanga kama mambo yanayoendelea sasa, Picking ya Coach inaanza kufeli mapema....
Team Kushinda ni Jukumu lenu na kulaumiwa hatuachi mpaka mjue Mmebeba furaha ya wananchi wangapi, Haiwezekani Mtu unalipwa vizuri, unakula vizuri, Unalala pazuri alafu unachofanya uwanjani ni Utumbo wa mbwa kabisa
:
Atakaesema Lawama za Nini kwanini tusiwalaumu wakati walisajiliwa waje waitumikie Team yetu kwa jasho na damu!
:
Atakaeleta Masihara naomba Uongozi usiwachekee ni kufukuza tu wakafanye shughuli walizozaliwa nazo
Hahahaaa!! Yaani tukifungwa ni kama na nyie mmefungwa tu Mtani mana mnakosaga hadi usingizi. Teh teh.Amka pameshakucha[emoji1][emoji1][emoji1]
Usituhusishe na kufungwa kwenu[emoji1]Hahahaaa!! Yaani tukifungwa ni kama na nyie mmefungwa tu Mtani mana mnakosaga hadi usingizi. Teh teh.
Kweli eti π mana sie tumelala usingizi mororo lakini baadhi yenu sasa usiku kucha mnapost yaliyojiri. πππUsituhusishe na kufungwa kwenu[emoji1]
Natumai uko mzima?Usituhusishe na kufungwa kwenu[emoji1]
Msije mkatoa pilau nyingine maan hamchelewi[emoji16]Kweli eti [emoji6] mana sie tumelala usingizi mororo lakini baadhi yenu sasa usiku kucha mnapost yaliyojiri. [emoji3][emoji3][emoji3]
Na nina furaha[emoji28]Natumai uko mzima?