Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ohooooo
IMG-20210912-WA0037.jpg
 
𝗗𝗔𝗞𝗜𝗞𝗔 90 𝗭𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗜𝗦𝗛𝗔
:
Dakika 90 za kwanza Kocha Nasserdine Nabi amefeli kwenye Selection ya Team na kwenye SUB Alifeli kwa 95%
KIVIPI
••••••••
1. Adeyun Salehe:- Sijajua aliyependekeza kubaki kwake, hasitaili kuchezea Club yanga na Hakuna mjadala.
:
2. Zawadi Mauya:- Mpaka Dirisha linafungwa sijajua alibakia Yanga kufanya Nini! Anaidhalilisha Nembo ya Yanga anachokifanya ni upumbavu mtupu uwanjani, kama angekua na mkataba angerudi tu Kagera akazeekee kule.
:
3. Kocha naona kibarua kitamuozea mapema sana, Unamuachaje mtu kama Saido,Bangala,Kaseke wakae Benchi ilihali Timu inazidiwa??
:
4. Kibwana Shomari anataka kuiga Uchezaji wa Djuma Shabani, Kwanini usicheze kwa style yako uliyoizoea??
:
5. Sijajua Kinachomuweka Nje David Bryson mpaka Leo hii, kama hana Match fitness alisajiliwa ili atumike lini?? Madactari wanafanya kitu Gani mpaka Leo hii!!
Hakuna kitu wanachokosewa wanayanga kama mambo yanayoendelea sasa, Picking ya Coach inaanza kufeli mapema....
Team Kushinda ni Jukumu lenu na kulaumiwa hatuachi mpaka mjue Mmebeba furaha ya wananchi wangapi, Haiwezekani Mtu unalipwa vizuri, unakula vizuri, Unalala pazuri alafu unachofanya uwanjani ni Utumbo wa mbwa kabisa
:
Atakaesema Lawama za Nini kwanini tusiwalaumu wakati walisajiliwa waje waitumikie Team yetu kwa jasho na damu!
:
Atakaeleta Masihara naomba Uongozi usiwachekee ni kufukuza tu wakafanye shughuli walizozaliwa nazo
Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kukupa pole maana umeandika kwa uchungu mkubwa sana.
mimi hapa tatizo naliona kwa uongozi wa yanga sio kwa wachezaji wala kocha. nadhani wanaohusika na usajili wa wachezaji yanga si watu wa mpira. kivipi? Tatizo la Yanga kwa misimu mitatu iliyopita si Ushambuliaji tatizo la yanga ni wachezaji ambao ni playmakers kama kina chama na kina bwalya au iddy nado lakini ajabu miaka yote hii yanga wanasajiliwashambuliaji msimu ukiisha wanafukuza wote wanasajili wapya lakini wakisajili wanasahau kusajili wachezaji ambao watawachezesha hao washambuliaji feisal ni mzuri lakini anahitaji msaidizi mwenye energy ya kutosha hasa.
una dicson job ambae ana uwezo mkubwa wa kucheza kiungo mzuiaji unae mauya nafasi hiyo hiyo unae mkoko bado unamuongeza aucho wakati eneo hilo sio tatizo lako la msingi katika timu.
je kocha hakutoa ripoti? au yanasajiliwa majina tu.
yule yesu moloko afadhali angeanza ambundo mara kumi aliyewaambia yule ni zaidi ya kisinda aliwapiga mchana kweupe

najua mtanitukana lakini pamoja na kuwa mimi ni simba lakini nimeangalia madhaifu ya timu yenu. kitaalamu
 
Yanga wamemchanganya mama mpaka katimua timua baraza la mawaziri,kutoa wa Yanga kaweka wa Simba.
 
Jamaa kachana chana jezi yenye vibwengo.
 
𝗗𝗔𝗞𝗜𝗞𝗔 90 𝗭𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗜𝗦𝗛𝗔
:
Dakika 90 za kwanza Kocha Nasserdine Nabi amefeli kwenye Selection ya Team na kwenye SUB Alifeli kwa 95%
KIVIPI
••••••••
1. Adeyun Salehe:- Sijajua aliyependekeza kubaki kwake, hasitaili kuchezea Club yanga na Hakuna mjadala.
:
2. Zawadi Mauya:- Mpaka Dirisha linafungwa sijajua alibakia Yanga kufanya Nini! Anaidhalilisha Nembo ya Yanga anachokifanya ni upumbavu mtupu uwanjani, kama angekua na mkataba angerudi tu Kagera akazeekee kule.
:
3. Kocha naona kibarua kitamuozea mapema sana, Unamuachaje mtu kama Saido,Bangala,Kaseke wakae Benchi ilihali Timu inazidiwa??
:
4. Kibwana Shomari anataka kuiga Uchezaji wa Djuma Shabani, Kwanini usicheze kwa style yako uliyoizoea??
:
5. Sijajua Kinachomuweka Nje David Bryson mpaka Leo hii, kama hana Match fitness alisajiliwa ili atumike lini?? Madactari wanafanya kitu Gani mpaka Leo hii!!
Hakuna kitu wanachokosewa wanayanga kama mambo yanayoendelea sasa, Picking ya Coach inaanza kufeli mapema....
Team Kushinda ni Jukumu lenu na kulaumiwa hatuachi mpaka mjue Mmebeba furaha ya wananchi wangapi, Haiwezekani Mtu unalipwa vizuri, unakula vizuri, Unalala pazuri alafu unachofanya uwanjani ni Utumbo wa mbwa kabisa
:
Atakaesema Lawama za Nini kwanini tusiwalaumu wakati walisajiliwa waje waitumikie Team yetu kwa jasho na damu!
:
Atakaeleta Masihara naomba Uongozi usiwachekee ni kufukuza tu wakafanye shughuli walizozaliwa nazo
Tena Kocha kwenye sub ndo alichemsha mbaya.

Yaani ni kama alivyofanya Yanga day tu. 🙁🙁
 
Back
Top Bottom