Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Wakuu mnaonaje tukamrudisha Moringa, atatufaa pale mbele. Huyu makambo naona ni butu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kkweeeenddraaaaa. 😅😅😅Na nina furaha[emoji28]
Hebu tuache tuko busy na 90Mins zilizobakia Naijeria.Msije mkatoa pilau nyingine maan hamchelewi[emoji16]
Mikia huyo anatukejeli tu hapa.Mhhhh ww nae moringa tena[emoji3525][emoji3525]
🤝 Mkuu naona umerudi kile kupindi chetu cha kupungua uzito. 🙃Am back Wanayanga wenzangu[emoji112][emoji112][emoji112]
Pamoja ya kuwa Yanga bado haijawa na muunganiko lakini kocha jana kazingua sana kwanzia kwenye upangaji wa kikosi hadi kwenye sub. Yusuph Athuman angekuwa anafaa sana kucheza sambamba na Makambo. Yacouba na Feisal jana wamezingua sana sijui kocha ameshindwa nini ku switch mbinu mpya na kumtoa yocouba mapema tu. Bangala alikuwa mtu muhimu sana kwenye hii mechi. Yaani Yanga ina watu wa maana lakini kocha limekaa tu kama bwege.Kwa Nigeria sidhani aisee.
Hivi bro ikawaje yule Moloko kocha akamwacha kucheza 90mins au mie ndo sikumwelewa mana saa ingine anachokifanya alikuwa anakijua mwenyewe?
Clear chance ngapi alizopata Makambo?Wakuu mnaonaje tukamrudisha Moringa, atatufaa pale mbele. Huyu makambo naona ni butu
Mnakutana na Simba mkiwa mshatolewa club bingwa[emoji16]Kkweeeenddraaaaa. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu jana nimeendesha sanaa[emoji23][emoji23] leo nadhani kilo mbili nitakuwa nmepoteza[emoji847][emoji1666] Mkuu naona umerudi kile kupindi chetu cha kupungua uzito. [emoji854]
Endelea kuroga karibu giza linaingiaMnakutana na Simba mkiwa mshatolewa club bingwa[emoji16]
Hakika usemalo Mkuu.Pamoja ya kuwa Yanga bado haijawa na muunganiko lakini kocha jana kazingua sana kwanzia kwenye upangaji wa kikosi hadi kwenye sub. Yusuph Athuman angekuwa anafaa sana kucheza sambamba na Makambo. Yacouba na Feisal jana wamezingua sana sijui kocha ameshindwa nini ku switch mbinu mpya na kumtoa yocouba mapema tu. Bangala alikuwa mtu muhimu sana kwenye hii mechi. Yaani Yanga ina watu wa maana lakini kocha limekaa tu kama bwege.
Pole sana aisee! 😀Mkuu jana nimeendesha sanaa[emoji23][emoji23] leo nadhani kilo mbili nitakuwa nmepoteza[emoji847]
Mnakutana na Simba mkiwa mshatolewa club bingwa[emoji16]
Mnaanza kutafuta sababu nyie Uto[emoji28][emoji28][emoji28]Hakika usemalo Mkuu.
Lakini hivi vilabu yetu bana usije kuta kikosi anapangiwa na watu yaani kwamba kuna watu fulani ni lazima wacheze iwe isiwe.
Halafu hivi yule Moloko ulimwelewa? [emoji853]
Loh!,pole yako mtani.Mkuu jana nimeendesha sanaa[emoji23][emoji23] leo nadhani kilo mbili nitakuwa nmepoteza[emoji847]
Hahahaaaa. LolMnaanza kutafuta sababu nyie Uto[emoji28][emoji28][emoji28]
Jux na Uto mmeliabisha taifa[emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaaaa. Lol