Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwa Nigeria sidhani aisee.

Hivi bro ikawaje yule Moloko kocha akamwacha kucheza 90mins au mie ndo sikumwelewa mana saa ingine anachokifanya alikuwa anakijua mwenyewe?
Pamoja ya kuwa Yanga bado haijawa na muunganiko lakini kocha jana kazingua sana kwanzia kwenye upangaji wa kikosi hadi kwenye sub. Yusuph Athuman angekuwa anafaa sana kucheza sambamba na Makambo. Yacouba na Feisal jana wamezingua sana sijui kocha ameshindwa nini ku switch mbinu mpya na kumtoa yocouba mapema tu. Bangala alikuwa mtu muhimu sana kwenye hii mechi. Yaani Yanga ina watu wa maana lakini kocha limekaa tu kama bwege.
 
Pamoja ya kuwa Yanga bado haijawa na muunganiko lakini kocha jana kazingua sana kwanzia kwenye upangaji wa kikosi hadi kwenye sub. Yusuph Athuman angekuwa anafaa sana kucheza sambamba na Makambo. Yacouba na Feisal jana wamezingua sana sijui kocha ameshindwa nini ku switch mbinu mpya na kumtoa yocouba mapema tu. Bangala alikuwa mtu muhimu sana kwenye hii mechi. Yaani Yanga ina watu wa maana lakini kocha limekaa tu kama bwege.
Hakika usemalo Mkuu.

Lakini hivi vilabu yetu bana usije kuta kikosi anapangiwa na watu yaani kwamba kuna watu fulani ni lazima wacheze iwe isiwe.

Halafu hivi yule Moloko ulimwelewa? 🙁
 
Mtaongea Sana lakn ukweli mchungu

Yanga haitakuja kuwa na muunganiko na wachezaji Kama mfumo wa wenyewe ndio huu was kusajir wachezaji lukuki halafu mwisho wa msimu wanaachwa

Timu ya ushindi n ile inayosajir wachezaj wachache kujaza nafas chache. Au kuleta wachezaj wenye kariba na wale waliopo ili kuleta challenge kwa waliopo wasibweteke

Umewah kuona klabu gani dunian inayosajir wachezaj had 8 kwa msimu huu n upuuzi ambao wanayanga wanashindwa kuelewa

Suala la maandalizi ya timu nalo n kizungumkuti tupu yaan pre season kulikuwa na haja gani ya kuweka kambi Morocco kwa siku 4 tu eti kisa umelipiwa bure hapo ndipo wanayanga ilibid washtuke kuwa muwekezaji hana Nia nzuri na klabu hii

Usajir wa wachezaji Kama Aucho na Djuma umegubikwa kizungumkuti tupu mchezaj wa kwanza kusajiliwa klabuni ndye anakosa ITC na wa mwisho kusajikiwa anapata ITC hapo ilibid watu wahoji wapate majibu ya kina

Nguvu kubwa kuwekezwa kwenye propaganda kuliko.uwanjani mfano uzinduz wa mauzo ya jez kila mtu aliona nguvu iliyotumika unaweza ukadhan kuwa yanga imekamilila kumbe hakuna kitu

Ujio wa HAJJ nao umetumia nguvu kubwa Sana na kuwafanya wengne wajione wanyonge haji hajawah kumaliza Kaz salama kila sehemu anayopita toka NCCR CCM had SIMBA na hapa tutegemee hayo hayo

Mwekezaji amewekeza nguvu kwenye biashara zake kushinda uwanjani yanga n Kama daraja la mafanikio Kama ujuavyo Simba na yanga n Kama dini kila mtu ataziabudu na hata viongoz wetu serikalin n waumin wa SIASA za Simba na yanga hvyo muwekezaji atanufaika tu huko serikalin Kama kupitisha Mambo yake kwa mgongo wa yanga

Mwisho washabiki wa yanga n muda wa kukaa chini na kutafakar juu ya mwenendo wa timu hii vinginevyo mtakosa furaha milele kwa ajili ya wachumia tumbo wachache

Kuna tetesi tamasha la yanga day mapato yote alikusanya GSM na timu hai japata hata senti mwenyekiti yupo Kama rubber stamp hana nguvu Tena



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mnakutana na Simba mkiwa mshatolewa club bingwa[emoji16]
2289386_2289265_14eaa34c-6bd0-49bd-bf25-7086a7fdbf59.gif
 
Back
Top Bottom