Mtaongea Sana lakn ukweli mchungu
Yanga haitakuja kuwa na muunganiko na wachezaji Kama mfumo wa wenyewe ndio huu was kusajir wachezaji lukuki halafu mwisho wa msimu wanaachwa
Timu ya ushindi n ile inayosajir wachezaj wachache kujaza nafas chache. Au kuleta wachezaj wenye kariba na wale waliopo ili kuleta challenge kwa waliopo wasibweteke
Umewah kuona klabu gani dunian inayosajir wachezaj had 8 kwa msimu huu n upuuzi ambao wanayanga wanashindwa kuelewa
Suala la maandalizi ya timu nalo n kizungumkuti tupu yaan pre season kulikuwa na haja gani ya kuweka kambi Morocco kwa siku 4 tu eti kisa umelipiwa bure hapo ndipo wanayanga ilibid washtuke kuwa muwekezaji hana Nia nzuri na klabu hii
Usajir wa wachezaji Kama Aucho na Djuma umegubikwa kizungumkuti tupu mchezaj wa kwanza kusajiliwa klabuni ndye anakosa ITC na wa mwisho kusajikiwa anapata ITC hapo ilibid watu wahoji wapate majibu ya kina
Nguvu kubwa kuwekezwa kwenye propaganda kuliko.uwanjani mfano uzinduz wa mauzo ya jez kila mtu aliona nguvu iliyotumika unaweza ukadhan kuwa yanga imekamilila kumbe hakuna kitu
Ujio wa HAJJ nao umetumia nguvu kubwa Sana na kuwafanya wengne wajione wanyonge haji hajawah kumaliza Kaz salama kila sehemu anayopita toka NCCR CCM had SIMBA na hapa tutegemee hayo hayo
Mwekezaji amewekeza nguvu kwenye biashara zake kushinda uwanjani yanga n Kama daraja la mafanikio Kama ujuavyo Simba na yanga n Kama dini kila mtu ataziabudu na hata viongoz wetu serikalin n waumin wa SIASA za Simba na yanga hvyo muwekezaji atanufaika tu huko serikalin Kama kupitisha Mambo yake kwa mgongo wa yanga
Mwisho washabiki wa yanga n muda wa kukaa chini na kutafakar juu ya mwenendo wa timu hii vinginevyo mtakosa furaha milele kwa ajili ya wachumia tumbo wachache
Kuna tetesi tamasha la yanga day mapato yote alikusanya GSM na timu hai japata hata senti mwenyekiti yupo Kama rubber stamp hana nguvu Tena
Sent from my TECNO F1 using
JamiiForums mobile app