Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mechi imeisha hiyo, furaha ziishie hapa. Uongozi, wachezaji, na mashabiki ni wakati wa kujipanga kwa mchezo wa kwanza wa ligi kuu dhidi ya Kagera sugar.
 
Kikosi ca Timu ya Wananchi kimeondoka Dar es Salaam kuelekea Kagera, tayari kwa mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar, Jumatano tarehe 29/09/2021.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…