Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana alipumulia mashine.
Na itakuwa hana hamu na game za Yanga mana kama mwaka jana Tuisila alikuwa anamlaza na viatu mwaka huu ndo usiseme.
Kwangu mimiHivi jana "man of the match" alikuwa nani??!
Naam!Ila hawa kina Djuma wameongeza sana uhai jana kwenye timu.
Onyango alishukuru kuumia. 😀Acha kabisa 😂😂 onyango nae
Unajisikiaje!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kichapo kipo palepale[emoji3]
Kama huamini tupinge
🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Unajisikiaje!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ha ha haNyingine hii hapa
View attachment 1953519
Hawa watu hatari sanaKwangu mimi
1. Aucho
2. Bangala
Hawa walimaliza game pale Kati vibaya sana