Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

kiukweli Yanga ni timu nzuri sana na kwa mwaka huu ilikamia kucheza mpira wa raha kwa mashaabiki
ila tu sijui kwann miggogoro ya hapa na pale huwa tunairuhusu ituharibie soka letu.
Heshima sana kwa Manji na Tiboroha bila wao mafanikio haya tusingeyaona.
Ingawa manazi wengi wanamtuhumu Tibo ila kiukweli soka la sasa linatakiwa liendeshwe kisomi zaid kuliko lile la zaman Tibo juhudi zake zinakinzana na zile za wazee wetu wa historia.
 
Bila kusahau yule babu ni kpcha mzuri sana na mzoefu pia
 
Mwaka Huu passport za wa Kimataifa zitachafuka na mihuri ya Visa. acha sukari iadimike tyu huu utamu wa yanga tutanywea Chai, wa mtaa wa pili tunawaomba waje kutupokea kwenye uwanja wa kimataifa wa mwl jk nyerere kwa shangwe mwaka huu tunawapeleka kimataifa zaidi
 
Nimeuangalua mpira huo..tumefanyiwa figisufigisu sana tena sana...lkn pamoja na hayo tumetoboa.....Tunajipongeza kwa kweli...kwa sasa hii ni timu ya nchi na ushindi ni wa wote...tuko pamoja
 
Kwani
Nimeuangalua mpira huo..tumefanyiwa figisufigisu sana tena sana...lkn pamoja na hayo tumetoboa.....Tunajipongeza kwa kweli...kwa sasa hii ni timu ya nchi na ushindi ni wa wote...tuko pamoja

Kwani TV station zetu zilionyesha ???
 
Ilikuwa inaonyeshwa TPA kwa wale wenye Azam lkn kama ulilipa kifurushi kikubwa
 
Aaah
Nlivo skia wa kimataifa hata sku jiulza

Mwaka huu ndege zotatukoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…