Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau yule babu ni kpcha mzuri sana na mzoefu piakiukweli Yanga ni timu nzuri sana na kwa mwaka huu ilikamia kucheza mpira wa raha kwa mashaabiki
ila tu sijui kwann miggogoro ya hapa na pale huwa tunairuhusu ituharibie soka letu.
Heshima sana kwa Manji na Tiboroha bila wao mafanikio haya tusingeyaona.
Ingawa manazi wengi wanamtuhumu Tibo ila kiukweli soka la sasa linatakiwa liendeshwe kisomi zaid kuliko lile la zaman Tibo juhudi zake zinakinzana na zile za wazee wetu wa historia.
Nimeuangalua mpira huo..tumefanyiwa figisufigisu sana tena sana...lkn pamoja na hayo tumetoboa.....Tunajipongeza kwa kweli...kwa sasa hii ni timu ya nchi na ushindi ni wa wote...tuko pamoja