Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Aisee si wapewe tu kombe tufanye mambo mengine
 
Hakuna timu imewahi kuupiga mwingi kama Yanga ya mwaka huu, hata Simba wamekubali, kuna shabiki mmoja wa simba anasema yani kwa mpira huu na bado kocha wenu anasema ni 45%? Daahhh.
Simba kwani unawaona tena na maneno mengi, lile neno wsliozoea kusema, sijui chura mara sijui nini umeyasikia tena. Kwa kifupi Simba wako kimya kabisa wamepoteana.
 
Simba kwani unawaona tena na maneno mengi, lile neno wsliozoea kusema, sijui chura mara sijui nini umeyasikia tena. Kwa kifupi Simba wako kimya kabisa wamepoteana.
Watasema nini tena wakati kuona ni kuamini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna timu pale takataka tu
Siku hizi siwaoni tena kuvamia uzi wa YANGA, ilikuwa baada ya mechi yao, post zao kwenye uzi wa YANGA, Jana baada ya ile mechi wameshinda kwa taabu sana lala salama, nimewaonea huruma. John Boko alikuwa hoi ile mbaya. Nilikuja kucheki kama wameweka post yao kama kawaida yao nikaona kimya, nikajua hakuna kitu pale simba.
 
Hahaha
 
Hahahaa!! Hawa mikia tunaishi nao tu hivyo hivyo.

Hakika na this season ndo maana halisi ya "Return of Champions" inapochukua nafasi yake.
Dada habari yako, habari za siku nyingi?
Naomba unitafute PM nina shida nawe!
 
Kama ndio hivyo Mi mwenyewe tayari Yanga naiogopa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…