Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,240
- 2,010
I love you too my fellow mwananchi...I love Yanga[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji617][emoji617]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love you too my fellow mwananchi...I love Yanga[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji617][emoji617]
Aisee si wapewe tu kombe tufanye mambo mengineKama umeridhika na Yanga uliyoishuhudia mpaka sasa hongera!, lakini sio kwa Kocha Nasreddine Nabi
Akizungumza baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc ambao Yanga iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi, Nabi alisema mpaka sasa kikosi chake kimekamilika kwa kati ya asilimia 45% na 50%, yaani ni nusu ya vile anavyotaka kuiona timu inacheza
Mwanzoni mwa msimu Nabi alisema anahitaji siku 90 kutengeneza kikosi imara ya Yanga, amesema umebaki mwezi mmoja kufikia malengo
"Naipongeza Yanga Sc na (GSM) kwa kufanya usajili mzuri, pia naipongeza timu ya wataalamu wa viungo 'Physio', wamenisaidia kuiweka timu fiti sana na leo watu wamejionea wenyewe"
"Yanga imeimarika kwa asilimia 45% hadi 50% hapo unapoiona, ila baada ya mwezi mmoja itakuwa 100%," alisema Nabi
Simba kwani unawaona tena na maneno mengi, lile neno wsliozoea kusema, sijui chura mara sijui nini umeyasikia tena. Kwa kifupi Simba wako kimya kabisa wamepoteana.Hakuna timu imewahi kuupiga mwingi kama Yanga ya mwaka huu, hata Simba wamekubali, kuna shabiki mmoja wa simba anasema yani kwa mpira huu na bado kocha wenu anasema ni 45%? Daahhh.
Watasema nini tena wakati kuona ni kuamini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Simba kwani unawaona tena na maneno mengi, lile neno wsliozoea kusema, sijui chura mara sijui nini umeyasikia tena. Kwa kifupi Simba wako kimya kabisa wamepoteana.
Sio kweli. Itakua lakisaba na semanini na tatu elfu na miambili hamsini na tano..... Hizo lakitatu ni za Yannick Bangala Pekeyake[emoji16][emoji16]Jana tumepiga pasi laki 3 na kama elfu ishirini na mbili hivi
Hakuna timu pale takataka tuSimba wamekuwa baridiiiiiiiiiii
Kwa sauti ya mzee wa Msoga
Mkuu ulikuwa wapi aisee.Yanick Bangala, huyu jamaa sio wakucheza África.
Nipo mkuu, harakati za mtu mweusi tu ndio zina changanya.Mkuu ulikuwa wapi aisee.
Siku hizi siwaoni tena kuvamia uzi wa YANGA, ilikuwa baada ya mechi yao, post zao kwenye uzi wa YANGA, Jana baada ya ile mechi wameshinda kwa taabu sana lala salama, nimewaonea huruma. John Boko alikuwa hoi ile mbaya. Nilikuja kucheki kama wameweka post yao kama kawaida yao nikaona kimya, nikajua hakuna kitu pale simba.Hakuna timu pale takataka tu
HahahaSiku hizi siwaoni tena kuvamia uzi wa YANGA, ilikuwa baada ya mechi yao, post zao kwenye uzi wa YANGA, Jana baada ya ile mechi wameshinda kwa taabu sana lala salama, nimewaonea huruma. John Boko alikuwa hoi ile mbaya. Nilikuja kucheki kama wameweka post yao kama kawaida yao nikaona kimya, nikajua hakuna kitu pale simba.
Dada habari yako, habari za siku nyingi?Hahahaa!! Hawa mikia tunaishi nao tu hivyo hivyo.
Hakika na this season ndo maana halisi ya "Return of Champions" inapochukua nafasi yake.
Kama ndio hivyo Mi mwenyewe tayari Yanga naiogopa aiseeKama umeridhika na Yanga uliyoishuhudia mpaka sasa hongera!, lakini sio kwa Kocha Nasreddine Nabi
Akizungumza baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc ambao Yanga iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi, Nabi alisema mpaka sasa kikosi chake kimekamilika kwa kati ya asilimia 45% na 50%, yaani ni nusu ya vile anavyotaka kuiona timu inacheza
Mwanzoni mwa msimu Nabi alisema anahitaji siku 90 kutengeneza kikosi imara ya Yanga, amesema umebaki mwezi mmoja kufikia malengo
"Naipongeza Yanga Sc na (GSM) kwa kufanya usajili mzuri, pia naipongeza timu ya wataalamu wa viungo 'Physio', wamenisaidia kuiweka timu fiti sana na leo watu wamejionea wenyewe"
"Yanga imeimarika kwa asilimia 45% hadi 50% hapo unapoiona, ila baada ya mwezi mmoja itakuwa 100%," alisema Nabi
Hatari tupuHilo pira halijawahi kuonekana hapo kwa Mkapa.
[emoji16][emoji16][emoji16]Bado tuna chaj ikifika 70% uko tutakosa tim za kucheza nazo