Wachezaji bado wanafaa na kocha pia.Kwa hiyo na leo tulikuwa tunawajaribu wachezaji?
Kulingana na majaribio tuliyofanya kupitia haya matokeo tuliyoyapata, hawa wachezaji wanatufaa au hawatufai?
Au tuwape muda wa kutosha zaidi kuendelea kuwajaribu?
Mlisema mnatutaka mapinduzi haya tumewafata mmekimbia aiseeNaona umetufwata mpaka huku. [emoji1787][emoji1787]
Usitukane mamba bro.
Mapinduzi lazima tubebe sawa uto.Lile zeru zeru liliwandanganya wakajaaaa mamaeee
Ilipaswa mutufwate huko huko sasa cha ajabu mukamkazia Namungo mbaya. 🤣🤣🤣Mlisema mnatutaka mapinduzi haya tumewafata mmekimbia aisee
Sio kagoma [emoji23][emoji23] hapo ndo kasepa hyo ni namna mpya ya kuhamaKaze daraja lake ni dogo sana
Mara paap Nabi kagoma kurudi
Kaze fundi sanaa yuleeeKama jana ile Sub ya Kipa sijui alitumia akili ya wapi aisee.
Huyu jamaa kavaa saa ya 8000Kikosi cha Timu ya Wananchi kimerejea kujiandaa na mechi zijazo.
View attachment 2077163
Tatizo hamliziki kwani lile sinia la mbao mlichukua mwaka jana haliwatoshiIlipaswa mutufwate huko huko sasa cha ajabu mukamkazia Namungo mbaya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alipaswa avae ya sh ngapi Mkuu?Huyu jamaa kavaa saa ya 8000
Huyu nae kavaa saa ya 3000
Kwa hyo mikanda ya hii saa inaonekana ya 2000
Hii saa ni 1500
Kwa hyo mikanda ya hii saa inaonekana ya 2000
Hahahaaa. Achana nazo zitakupotezea muda Mkuu.Hii saa ni 1500
Mdhamini anapiga hela na mpaka anadhamini ligi huku vijana wanashindwa kupendeza kisa malipo kiduchu. Utopolo amkeniHahahaaa. Achana nazo zitakupotezea muda Mkuu.
Hayo malipo yao kiduchu we uliyaona wapi ulete na sisi wengine tuone ni kiasi gani?Mdhamini anapiga hela na mpaka anadhamini ligi huku vijana wanashindwa kupendeza kisa malipo kiduchu. Utopolo amkeni
Wakapandishwa na boda boda kwa 2000Hahahaaa. Achana nazo zitakupotezea muda Mkuu.