Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mdhamini anapiga hela na mpaka anadhamini ligi huku vijana wanashindwa kupendeza kisa malipo kiduchu. Utopolo amkeni
Wanavalishwa sare maana wakisema kila mtu avae anavoweza ndyo yatatokea yale ya mkoti wa faisal
 
Nyie takataka angalieni fotbol linavochezwa sio mnatia tia huruma tu
 
Hizi tetesi za Mukoko kuondoka Yanga kama nikweli,viongozi wetu watakuwa wanatuhujumu wenyewe,haiwezekani best player wetu wanakuwa wanaondoka katika Hali ya mapambano,why? Tutahangaika sana ila kama nikweli mchawi ni viongozi wetu
 
Mkuu mbona kila mchango wako unalalamika viongozi?? Upande wa mchezaji hauna makosa kwako wewe??
Acha hizi mambo watu wanajielewa au ULIMSAJILI WEWE.
 
Hatuwezi kufanikiwa Kwa kutengeneza timu kila msimu,silalamiki natoa hoja zangu....pinga Kwa hoja nawewe.......wewe Kuna mchezaji Yanga umewahi kutoa hata buku?
 
Yes nimewahi kuchangia miaka hiyo.
Unatoa malalamiko kipuuzi na kila uchao.
 
Hizi tetesi za Mukoko kuondoka Yanga kama nikweli,viongozi wetu watakuwa wanatuhujumu wenyewe,haiwezekani best player wetu wanakuwa wanaondoka katika Hali ya mapambano,why? Tutahangaika sana ila kama nikweli mchawi ni viongozi wetu
Na haya ndo yatakuja kuzaa yale ya msimu uliopita. Yaani tumeanza vizuri ila usishangae lengo ni kuwasafishia wengine safari ya ubingwa.
 
Huyu wa wapi naye jamani sijawahi kumsikia hata. [emoji848] Hebu mwenye wasifu wake aulete.
View attachment 2081302
Huyu ni beki hasa kwa maana ya halisi ya neno hilo. Mimi sina ushabiki huo wa sijui Makolo sijui Utopolo. Ila Ibrahim "Bacca" ni beki aliyekamilika. Umri wake na aina ya uchezaji wake itakuwa back up nzuri ya Mwamnyeto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…