Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Kweli mkuu hata mimi hii rangi inanikera sana.Nina hoja binafsi, Yanga wabadilishe rangi ya jezi, hizi za magamba wengine tunashindwa kuvaa kwa kuogopa kuzomewa mitaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu hata mimi hii rangi inanikera sana.Nina hoja binafsi, Yanga wabadilishe rangi ya jezi, hizi za magamba wengine tunashindwa kuvaa kwa kuogopa kuzomewa mitaani.
Nina hoja binafsi, Yanga wabadilishe rangi ya jezi, hizi za magamba wengine tunashindwa kuvaa kwa kuogopa kuzomewa mitaani.
Imejengeka dhana kuwa Simba ndiyo ina-enjoy the highest proportion of fans hapa nchini kuliko Yanga.
Wengi tunalazimika kuamini kuwa dhana hii ni misleading kwa sababu kuu 2:
1. historia inaonyesha kuwa asili ya Yanga ni Watanzania asilia (natives) ambao proportionally ni wengi kuliko jamii zote nchini
2. wafuasi wa Yanga (labda kutokana na historia ya aina ya wafuasi wake) hawana makeke sana....hata pale timu inapokuwa na mafanikio
Sababu # 2 hapo juu inahanikizwa na tukio la hivi karibuni huko bungeni ambapo mbunge mmoja mnazi wa Yanga, ambaye hakutaka hata jina lake lijulikane publicly pamoja na Yanga kubeba kombe la Kagame, alitoa mwaliko kwa wabunge wenziwe wanazi wa Simba. Soma newspaper article hii hapa chini....
Simba wangekuwa wameshinda, hawa wanazi wote waliomo kwenye mwaliko uliotajwa hapa chini ungewasikia makeke yao!!!
Makeke haya ndiyo haswa yanayotafsiriwa (dhahiri kwa kupotoka) kuwa eti Simba ina wafuasi wengi kuliko watani wao Yanga.
Over to you Simba and Yanga fans........huu ndio mtizamo wangu mimi. Wewe je??
QUOTE
............Spika Makinda alisema kwa namna ya pekee Bunge linaipongeza timu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa kwa mara ya nne baada ya kuifunga timu ya Simba juzi kwa taabu kwa goli 1-0 katika dakika ya 108 kwenye hiyo iliyochezwa kwa dakika 120 .
Spika Makinda alisema amepokea ujumbe mfupi kutoka kwa mbunge (hakumtaja) ukiwaalika wabunge kadhaa kwenye hafla maalum ya kusherehekea ubingwa wa Kagame.
Aliwataja wabunge hao wanaosemekana kuwa ni mashabiki wa Simba, kuwa ni Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Rage, Waziri wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Urambo Mashariki (CCM), Samuel Sitta, Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM) Juma Nkamia, Mbunge wa Ilala (CCM) Musa Zungu, Naibu Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa (CCM) Job Ndugai, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema) Zitto Kabwe na Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Profesa Juma Kapuya.
Wengine ni Mbunge wa Kinondoni (CCM) Iddi Azzan, Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema (CCM) William Ngeleja na Mbunge wa Gando (CUF) Khalifa Suleiman Khalifa, ambao alisema wamealikwa katika hafla ambayo haikulezwa itafanyika sehemu gani.UNQUOTE
Hivi yanga na simba zimekutana mara ngapi?matokeo yake yako vipi?
nashukuru mkuu!rekodi zinajieleza.Yanga na Simba zimekutana mara 96 Yanga wameshinda mechi 36 Simba wameshinda mara 30 Wametoka sare mara 30Bala.
duh, kwa hiyo unataka mtu akujibu hadi hili swali?Ina maana sheria ya kurudiwa kupiga penalti haipo au imeeanzia kutumika kwa Yanga?
tatizo lako unaangalia rekodi ya simba na yanga tu,hebu jaribu kuangalia kimataifa kati ya timu hz mbili nani atleast ana mafanikio kuliko mwenzie, that's successfulnes tunayohitaji kisoka na sio kufungana wao kwa wao!nashukuru mkuu!rekodi zinajieleza.
au aende nchi yoyote east africa aulize mtu yoyote do you know SSC?? aone atakavyojibiwa ...wote wanajua kuwa ni kisiki .. bala yeye amekalia hako ka historia kake naona anaka updatates kila siku .tatizo lako unaangalia rekodi ya simba na yanga tu,hebu jaribu kuangalia kimataifa kati ya timu hz mbili nani atleast ana mafanikio kuliko mwenzie,that's successfulnes tunayohitaji kisoka na sio kufungana wao kwa wao!
au aende nchi yoyote east africa aulize mtu yoyote do you know SSC?? aone atakavyojibiwa ...wote wanajua kuwa ni kisiki .. bala yeye amekalia hako ka historia kake naona anaka updatates kila siku .
Hivi yanga na simba zimekutana mara ngapi?matokeo yake yako vipi?
Leo hatoki mtu.Tunawasubiri tena kesho tuwamalizie manyoya yote..