Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nina hoja binafsi, Yanga wabadilishe rangi ya jezi, hizi za magamba wengine tunashindwa kuvaa kwa kuogopa kuzomewa mitaani.

YANGA ilianzishwa zaidi ya miaka 75 iliyopita kabla ya magamba, magamba ndio wanatakiwa kubabadilisha rangi na si Yanga.
 
Imejengeka dhana kuwa Simba ndiyo ina-enjoy the highest proportion of fans hapa nchini kuliko Yanga.

Wengi tunalazimika kuamini kuwa dhana hii ni misleading kwa sababu kuu 2:

1. historia inaonyesha kuwa asili ya Yanga ni Watanzania asilia (natives) ambao proportionally ni wengi kuliko jamii zote nchini
2. wafuasi wa Yanga (labda kutokana na historia ya aina ya wafuasi wake) hawana makeke sana....hata pale timu inapokuwa na mafanikio

Sababu # 2 hapo juu inahanikizwa na tukio la hivi karibuni huko bungeni ambapo mbunge mmoja mnazi wa Yanga, ambaye hakutaka hata jina lake lijulikane publicly pamoja na Yanga kubeba kombe la Kagame, alitoa mwaliko kwa wabunge wenziwe wanazi wa Simba. Soma newspaper article hii hapa chini....
Simba wangekuwa wameshinda, hawa wanazi wote waliomo kwenye mwaliko uliotajwa hapa chini ungewasikia makeke yao!!!
Makeke haya ndiyo haswa yanayotafsiriwa (dhahiri kwa kupotoka) kuwa eti Simba ina wafuasi wengi kuliko watani wao Yanga.

Over to you Simba and Yanga fans........huu ndio mtizamo wangu mimi. Wewe je??

QUOTE
............Spika Makinda alisema kwa namna ya pekee Bunge linaipongeza timu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa kwa mara ya nne baada ya kuifunga timu ya Simba juzi kwa taabu kwa goli 1-0 katika dakika ya 108 kwenye hiyo iliyochezwa kwa dakika 120 .

Spika Makinda alisema amepokea ujumbe mfupi kutoka kwa mbunge (hakumtaja) ukiwaalika wabunge kadhaa kwenye hafla maalum ya kusherehekea ubingwa wa Kagame.
Aliwataja wabunge hao wanaosemekana kuwa ni mashabiki wa Simba, kuwa ni Mbunge wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Rage, Waziri wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Urambo Mashariki (CCM), Samuel Sitta, Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM) Juma Nkamia, Mbunge wa Ilala (CCM) Musa Zungu, Naibu Spika wa Bunge na Mbunge wa Kongwa (CCM) Job Ndugai, Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema) Zitto Kabwe na Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM), Profesa Juma Kapuya.

Wengine ni Mbunge wa Kinondoni (CCM) Iddi Azzan, Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema (CCM) William Ngeleja na Mbunge wa Gando (CUF) Khalifa Suleiman Khalifa
, ambao alisema wamealikwa katika hafla ambayo haikulezwa itafanyika sehemu gani.
UNQUOTE
 
attachment.php
YANGAAAAAAAAA.jpg
 
Kamwambie RAGE akate rufaa,huyu TIMBE anamuumiza sana RAGE.Alikuja kuwapora Ubingwa kwenye mechi ya mwisho ya ligi,juzi kawapora Kagame
 
ndugu yangu yanga ilianzishwa mwaka 1935 lakini ilikuwa ina asili ya zanzibar maana wakati wa kuanzishwa influence ilikuwa ni zanzibar na ndo kisa cha kina karume kuwa wanayanga

hali kadhalika Simba ilianzishwa kama meguko la yanga mwaka 1936 baada ya wanachama kuhitilafiana,
binafsi naamini yanga ina idadi ya wapenzi wengi zaidi tanzania lakini sio most successful club in tanzania, hilo mimi na wewe twalifahamu kwa standards za FAT(TFF),NA CAF, hatuhitaji ubishi wala unazi , good day
 
Hivi yanga na simba zimekutana mara ngapi?matokeo yake yako vipi?
 
nashukuru mkuu!rekodi zinajieleza.
tatizo lako unaangalia rekodi ya simba na yanga tu,hebu jaribu kuangalia kimataifa kati ya timu hz mbili nani atleast ana mafanikio kuliko mwenzie, that's successfulnes tunayohitaji kisoka na sio kufungana wao kwa wao!
 
tatizo lako unaangalia rekodi ya simba na yanga tu,hebu jaribu kuangalia kimataifa kati ya timu hz mbili nani atleast ana mafanikio kuliko mwenzie,that's successfulnes tunayohitaji kisoka na sio kufungana wao kwa wao!
au aende nchi yoyote east africa aulize mtu yoyote do you know SSC?? aone atakavyojibiwa ...wote wanajua kuwa ni kisiki .. bala yeye amekalia hako ka historia kake naona anaka updatates kila siku .
 
Hahaaaaaa..............Kosa langu ni lipi hapo mtani?......Mie nimemjibu kulingana na swali alilouliza...

Hivi yanga na simba zimekutana mara ngapi?matokeo yake yako vipi?
 
  • Thanks
Reactions: Iza
Mbona kimya kwenye hili chama letu,au mpaka kombe lingine au twangoja Voda PL?
 
Naona chama limepaa Sudan,TFF imebidi watulize boli.
 
Wadau wa yanga vipi matokeo ya sudan huko?yanga amecheza jana wengine hatujapata matokeo,tunaomba mtujuze wadau.
 
Tunawasubiri tena kesho tuwamalizie manyoya yote..
 
Yanga Yanga Yanga......!

Timu bora kuliko zote Tanzania!
 
Back
Top Bottom