Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Haka katimu kameikamia timu ya wananchi utadhani kanapigania nafasi ya kushiriki kombe la dunia! Yaani kamekomaa kabisa kupata hata sare tu ili timu ya wananchi isiondoke na pointi 3 muhimu kuelekea safari ya ubingwa.
 
Back
Top Bottom