Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mtuwache. πππKwamba rangi za jezi zenu zinafanana na alizeti
Hapo Mtani viti vingekuwa vitupu mngesema tumekosa hamasa. π π π hamna jema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtuwache. πππKwamba rangi za jezi zenu zinafanana na alizeti
ππMtuwache. πππ
Hapo Mtani viti vingekuwa vitupu mngesema tumekosa hamasa. π π π hamna jema.
Nini lakini Mtani?Tujiandae vyema wana jangwani Township rollers wameapa lazima waje watoe kipigo cha mbwa koko.
Tujitahidi tufute aibu wale jamaa wa mwituni wasije kutucheka.
Kwa mama Karume....mmoja wa wadhamini wa YangaYanga hati yenu iko wapi,maana hati ya Simba anayo Mzee Kilomoni
Najaribu kuwakumbusha wana jangwani wenzangu nikiwa kama mzalendo/mfia timu wa chama letu la Yanga, chonde chonde kama ni kutufunga basi watufunge angalau 3 tu zikizidi sana 4, tusiogope kuchekwa na wale wa mwituni ndio kujifunza huko pia ndio ukubwa huo.Nini lakini Mtani?
Hebu wacheni kututoa kwenye reli.
Dua la kuku hilo Mtani. ππNajaribu kuwakumbusha wana jangwani wenzangu nikiwa kama mzalendo/mfia timu wa chama letu la Yanga, chonde chonde kama ni kutufunga basi watufunge angalau 3 tu zikizidi sana 4, tusiogope kuchekwa na wale wa mwituni ndio kujifunza huko pia ndio ukubwa huo.
Kila laheri chama kubwa Yanga sc
Nilikosa kaz ya kufanya ikabidi nitizame bonazaMtani kumbe mnatukubali eeee. Yaani muliacha kazi zenu mkaanza kuwafuatilia wananchi. [emoji3][emoji3][emoji3]
CC. Mtoto halali na hela.
Hahahaaa. Haya bana.Nilikosa kaz ya kufanya ikabidi nitizame bonaza
Ah wapHahahaaa. Haya bana.
Japo leo sisi tuko busy na kazi hatuna muda wa kuangalia bonanza lenu. Teh teh
Wameuza simu
π π π πββοΈπββοΈπββοΈAh wap
Nakusalimia swahiba[emoji28][emoji28][emoji28] [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Sijambo kabisa Swahiba. Jumamosi inakaribia itabidi tukaujaze Uwanja. ππNakusalimia swahiba
Kama kawa kama dawa,hawa gala fc watatuiga sana,now wanataka kujiita timu ya watuSijambo kabisa Swahiba. Jumamosi inakaribia itabidi tukaujaze Uwanja. ππ
Wapambane na hali zao huko, maana naona walilicheka bakuli letu hatimaye na kwao limetia timu.Kama kawa kama dawa,hawa gala fc watatuiga sana,now wanataka kujiita timu ya watu