Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hakika. Wale wanga waje na huku.Shirikisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika. Wale wanga waje na huku.Shirikisho
Lazima watakujaHakika. Wale wanga waje na huku.
Asante kwa ma News motomoto na ya uhakika ya chama letu kubwa la wananchi. Nnachofurahi ni kuona sasa timu imeanza kuwa tamuTUNAHITAJI KUFUNGA MABAO MENGI NYUMBANI "ZAHERA
.
Baada ya Yanga kuondoshwa michuano ya ligi ya mabingwa na kushushwa kombe la Shirikisho, kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera amesema ili kuwa na uhakika wa kutinga makundi watahitaji kufunga mabao mengi nyumbani
Zahera ambaye timu yake iliondolewa na Zesco kwa kufungwa mabao 2-1, amekiri kuwa uhaba wa mabao nyumbani umewasababishia kushindwa kuingia makundi ligi ya mabingwa "Hakufunga mabao mengi, tulikuwa na changamoto za hapa na pale kwenye safu yetu ya ushambuliaji lakini sasa nadhani tumeanza kuwa vizuri," amesema "Hatupaswi kurudia makosa tuliyofanya ligi ya mabingwa, tunahitaji kufunga mabao zaidi ya mawili nyumbani ili kupunguza presha ya mchezo wa ugenini"
Yanga inasubiri kumjua mpinzani wake droo ikitarajiwa kufanywa wiki ijayo nchini Misri
Jambo la uhakika ni kuwa Yanga itaanzia nyumbani na baadae kwenda kumalizia ugenini
Kwenye mchezo huo Yanga itamkosa beki wake kisiki Lamine Moro aliyepewa kadi mbili za njano kwenye mchezo dhidi ya Zesco.
Source. Yangafulldoz.
Shukrani Mkuu.Asante kwa ma News motomoto na ya uhakika ya chama letu kubwa la wananchi. Nnachofurahi ni kuona sasa timu imeanza kuwa tamu
TUNAHITAJI KUFUNGA MABAO MENGI NYUMBANI "ZAHERA
.
Baada ya Yanga kuondoshwa michuano ya ligi ya mabingwa na kushushwa kombe la Shirikisho, kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera amesema ili kuwa na uhakika wa kutinga makundi watahitaji kufunga mabao mengi nyumbani
Na sio kuganga njaa
Haswaaaa.Na sio kuganga njaa
Sure!Shukrani Mkuu.
Hakika wachezaji wameanza kuelewana japo yabidi ule morali uliopo sasa tuuhamishie mpaka Ligi Kuu.