sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Tukutane taifaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Jirani. Uko mzima lakini?Tukutane taifaaaaa
Hakika Jirani. Uko mzima lakini?
Mnaroga hata friend match! Mmeisingizia mvua mkaweka mpira kwapani baada ya kichungulia kwenye darubini zenu kua mtachezea kichapo
Si ilinyesha lakini Ses?Mnaroga hata friend match! Mmeisingizia mvua mkaweka mpira kwapani baada ya kichungulia kwenye darubini zenu kua mtachezea kichapo
Sababu kuu ilikuwa ni hii hapa. 👇👇👇Sasa mbona mechi yenyewe haioneshwi live kupitia luninga kama ilivyotangazwa hapo awali? Maana siyo wote tunaishi Dar es Salaam! Yaani muda huu nimelazimika kuwaangalia Simba badala ya Yanga!
Au ndiyo uswahili ule ule wa miaka nenda wa viongozi wetu, wa kujifanya wanazikwepa fitna za Waarabu? Halafu siku ya mechi unakuta wachezaji wenyewe akina Ali Ali wanaruka ruka tu uwanjani na kuchomesha!
Shadeeya mnajiita wa kimataifa halafu mnaogopa mvua? Hukuona mazoezi ya Lunyasi wakiwa Uturuki msimu uliopita wakichezea mvua na tope? Hao ndio wa kimataifa wa ukweliSi ilinyesha lakini Ses?