Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha woga kiongozi (1-0) ndo nini sasa! eleweka bwanadk 85
1 - 0
dk 85
1 - 0
Tupeni matokeo jamani
dk 85
1 - 0
FUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUULLLLL TIME
Yanga 1 - 0 Ruvu Shooting
Mabingwa warudi kileleni . . . . .
Happy Birthday Mabingwa wa Tanzania na East Afrika
Bao la Mwape dk ya 46
sasa kwanini mlikuwa mnatetemeka kutoa matokeoFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUULLLLL TIME
Yanga 1 - 0 Ruvu Shooting
Mabingwa warudi kileleni . . . . .
Happy Birthday Mabingwa wa Tanzania na East Afrika
Bao la Mwape dk ya 46
sasa kwanini mlikuwa mnatetemeka kutoa matokeo
Kwa matokeo haya ya 1-0 kurudi kileleni ni ndoto; kwa style mliochukulia ubingwa msimu uliopita SIMBA inaendelea kuwa kileleni.FUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUULLLLL TIME
Yanga 1 - 0 Ruvu Shooting
Mabingwa warudi kileleni . . . . .
Happy Birthday Mabingwa wa Tanzania na East Afrika
Bao la Mwape dk ya 46
mpira hawana hataivyo hawa.Walikuwa wanapumuliwa kwa karibu labda!
Yanga tayari wamerudi kileleni(kwa head to jead ya magoli ya kufunga).....Kwa matokeo haya ya 1-0 kurudi kileleni ni ndoto; kwa style mliochukulia ubingwa msimu uliopita SIMBA inaendelea kuwa kileleni.
Kiukweli timu zote Yanga na Simba hazina mpira,jana nilikuwa uwanjani nimewaona Simba wakicheza na Azam......Azam walitawala sana mpira na Simba walizidiwa but walizitumia vizuri nafasi mbili walizopata kwa Okwi kufunga magoli......Azam wanacheza soka ya kuvutia hasa kuliko Yanga na Simba...mpira hawana hataivyo hawa.
Kiukweli timu zote Yanga na Simba hazina mpira,jana nilikuwa uwanjani nimewaona Simba wakicheza na Azam......Azam walitawala sana mpira na Simba walizidiwa but walizitumia vizuri nafasi mbili walizopata kwa Okwi kufunga magoli......Azam wanacheza soka ya kuvutia hasa kuliko Yanga na Simba...