Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali Mtani. Kikubwa uwe na kumbukumbu tu.
#tunashindanahutaamini.
Nyie ndio wanga wetu Mtani mana mechi mliikamia kuliko hata sisi. Lol.Hahahahahahahahah Labda mshinde njaa.
Nshapoa aiseee!!![emoji1][emoji1][emoji1] pole
Unalolote la kuongezea kwenye koment yako hii mamii?Usijali Mtani. Kikubwa uwe na kumbukumbu tu.
#tunashindanahutaamini.
Leo hii yamekua hayo tena Shadeeya! Haya naomba uniletee mwenyewe hiyo korosho yangu kama tulivopinga mamii🤪🤪🤪Nyie ndio wanga wetu Mtani mana mechi mliikamia kuliko hata sisi. Lol.
Najua umelala kwa raha leo.
Hata sina love. Ila ndio soka jamani hilo. 😎😎😎Unalolote la kuongezea kwenye koment yako hii mamii?
🤔🤔🤔 Hivi ndio wanasemaga ahadi ni deni eee? 💃Leo hii yamekua hayo tena Shadeeya! Haya naomba uniletee mwenyewe hiyo korosho yangu kama tulivopinga mamii🤪🤪🤪
Mi nimefurahi zaidi kujua unaniletea korosho yangu niileHata sina love. Ila ndio soka jamani hilo. 😎😎😎
Kama nakuona ulivyofurahia kuona hela yako inapona. 😅😅
Haswaa love🤔🤔🤔 Hivi ndio wanasemaga ahadi ni deni eee? 💃
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Mi nimefurahi zaidi kujua unaniletea korosho yangu niile
Tunaganga ya mechi ya marudiano sasa.Haswaa love
Bora uje huku wakimbia usichelewe 🤪🤪🤪🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hebu toa kauli yako thabit hapa, kwenye marudiano kuna uwezekano mkapindua meza kibabe?Tunaganga ya mechi ya marudiano sasa.
Kwa kupindua meza pale hapana niwe mkweli tu. Wale wametuzidi sana.Hebu toa kauli yako thabit hapa, kwenye marudiano kuna uwezekano mkapindua meza kibabe?