Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jukwaa naona wewe tu ndo unaranda randa hapa!!! Mtani kwani ukiachana na yanga utakufa? [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]MWAKALEBELA AFUNGA MJADALA WA MWINYI ZAHERA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuungana ili kuhakikisha timu inafanya vyema na wasikubali kuyumbishwa na yanaoendelea kwenye vyombo vya habari kuhusu kocha Mwinyi Zahera
Zahera ambaye hivi karibuni mkataba wake ulisitishwa na uongozi wa Yanga, umekuwa akifanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari akitoa tuhuma nzito kwa uongozi wa Yanga
Mwakalebela amesema Wanayanga hawapaswi kukubali kuyumbishwa, maamuzi yameshafanyika na kinachotakiwa waangalie mbele
Aidha amesisitiza kuwa Yanga haina muda wa kujibu tuhuma zake "Hatuna sababu ya kujiingiza kwenye mijadala ambayo ina lengo la kutugawa. Kwa sasa akili yetu ipo kwenye mechi dhidi ya Ndanda na hatuna muda wa kumjadili mtu ambaye hayupo kikosini. "Zahera hawezi kututoa kwenye reli, tunapambana kusaka ushindi kwenye mechi yetu Mtwara. Alikuwapo kikosini, kama kulikuwa na matatizo kwanini hakuzungumza hadi asubiri alipotimuliwa? Hatupo tayari kumjibu ili asitupotezee dira na mipango yetu," amesema.
Hahahaa. Mtani kwani unateseka?Hili jukwaa naona wewe tu ndo unaranda randa hapa!!! Mtani kwani ukiachana na yanga utakufa? [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wacha nilichangamshe Mtani. Na wengine mbona wanakujaga.Hili jukwaa naona wewe tu ndo unaranda randa hapa!!! Mtani kwani ukiachana na yanga utakufa? [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Dirisha dogo tutafute namba 3 mzoefu zaidi ili Ally aanze kucheza katikati mana hapo ndo tutamfaidi
Hakika japo nawaza fungu lipo Mkuu?Dirisha dogo tutafute namba 3 mzoefu zaidi ili Ally aanze kucheza katikati mana hapo ndo tutamfaidi
SafiMWAKALEBELA AFUNGA MJADALA WA MWINYI ZAHERA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wa timu hiyo kuungana ili kuhakikisha timu inafanya vyema na wasikubali kuyumbishwa na yanaoendelea kwenye vyombo vya habari kuhusu kocha Mwinyi Zahera
Zahera ambaye hivi karibuni mkataba wake ulisitishwa na uongozi wa Yanga, umekuwa akifanya mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari akitoa tuhuma nzito kwa uongozi wa Yanga
Mwakalebela amesema Wanayanga hawapaswi kukubali kuyumbishwa, maamuzi yameshafanyika na kinachotakiwa waangalie mbele
Aidha amesisitiza kuwa Yanga haina muda wa kujibu tuhuma zake "Hatuna sababu ya kujiingiza kwenye mijadala ambayo ina lengo la kutugawa. Kwa sasa akili yetu ipo kwenye mechi dhidi ya Ndanda na hatuna muda wa kumjadili mtu ambaye hayupo kikosini. "Zahera hawezi kututoa kwenye reli, tunapambana kusaka ushindi kwenye mechi yetu Mtwara. Alikuwapo kikosini, kama kulikuwa na matatizo kwanini hakuzungumza hadi asubiri alipotimuliwa? Hatupo tayari kumjibu ili asitupotezee dira na mipango yetu," amesema.
Tupo Mkuu!Wananchi mpo?