Bilaly Junior
Member
- Jan 28, 2015
- 41
- 33
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa h
Sasa huyu fundi akutane na mapinduzi balama,fei Toto,makame ,tshishimbi si simba jike atakimbia mechi mapema tu.
Anaachaje kukimbia sasa Mkuu.Sasa h
Sasa huyu fundi akutane na mapinduzi balama,fei Toto,makame ,tshishimbi si simba jike atakimbia mechi mapema tu.
Kama ni usajili tu, basi hapo kuna tatizo.NINA SWALI WAKUU HIVI HUYU ANAYESAJILI NI ANASAJILI TU AU NDIO MPAKA MISHAHARA ATALIPA MANA KAMA SIELEWI. 🤔🤔🤔
NA MBONA HAMNA SEHEMU NAONA VIONGOZI WA TIMU YA WANANCHI HATUINGIZWI CHAKA KWELI?🤔🤔
Cc. kyata ,1954 ,Frank Wanjiru , Sibonike , Gide MK , Mgagaa na Upwa, Prince Kunta na wengineo naomba mnieleweshe mana sielewi hata.
Hivyo Mkuu ye anasajili tu mambo mengine anauachia uongozi?Kama ni usajili tu, basi hapo kuna tatizo.
Ila tusife moyo, hipo siku mambo yatanyooka tu.Hivyo Mkuu ye anasajili tu mambo mengine anauachia uongozi?
Tusubiri tuone Mkuu.Ila tusife moyo, hipo siku mambo yatanyooka tu.
Hahahahahahahahah Watu gani hao unaowahesabia hizo siku 14 zilizobaki.Anaachaje kukimbia sasa Mkuu.
Wajipange. Nawahesabia bado siku 14. 💃💃
Wanajijua Mtani 💃💃💃💃Hahahahahahahahah Watu gani hao unaowahesabia hizo siku 14 zilizobaki.
Huko presha ziko juu tu mana mpaka Manara kageuka shushushu wa Timu ya Wananchi. 🤣🤣🤣
Kweli Mkuu ni jambo la kujiuliza. Na ni swali la msingi ambalo hadi sasa nadhani halijapatiwa jibu au majibu husikaNINA SWALI WAKUU HIVI HUYU ANAYESAJILI ANAHUSIKA NA USAJILI TU?.
NA MBONA HAMNA SEHEMU NAONA VIONGOZI WA TIMU YA WANANCHI?🤔🤔
Hapa napata shaka isije mwisho wa siku akasema hilo la usajili ndio lilikuwa jukumu lake pekee mengine ni ya Klabu.Kweli Mkuu ni jambo la kujiuliza. Na ni swali la msingi ambalo hadi sasa nadhani halijapatiwa jibu au majibu husika
Mi naona sio mbaya labda shida ni ile waliyosema mikia (sina hakika huenda walimsingizia pia) kwamba ameshindwa kusimamia discipline ndani ya timu. Mana akishashindwa kuisimamia basi hakutakuwa na timu tena kwani kila mchezaji ataamua afanye kile akitakacho akitegemea amepata kocha poa.Huyu kocha Patrick mnamuonaje uwezo wake endapo tutampata wakuu!! Mi kama nina imani haba hivi