Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Naona unabadilisha gia angani Ses. 😅Tunataka mje hivihivi ma ushindi wenu mkiwa wanono ili Lunyasi wafanye yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unabadilisha gia angani Ses. 😅Tunataka mje hivihivi ma ushindi wenu mkiwa wanono ili Lunyasi wafanye yao
Wala sibadilishi gea angani Shadeeya nilikwambia mapemaaa, wee tafuta post yangu moja ya nyuma kwenye uzi huuhuu, niliku quote nikakwambia kwa lafudhi ya ndugu zetu Wasambaa kua "namitakieni heri"Naona unabadilisha gia angani Ses. 😅
Ila kana points tatu. 😀
Haya hizo ni salamu tu leo. 😎😎Wala sibadilishi gea angani Shadeeya nilikwambia mapemaaa, wee tafuta post yangu moja ya nyuma kwenye uzi huuhuu, niliku quote nikakwambia kwa lafudhi ya ndugu zetu Wasambaa kua "namitakieni heri"
Duuh!!Ndala ya Bafuni Leo Imeingia Mjini
Leo refa kachezesha kwa haki eeh Shadeeya?Tanzania Prisons wamekubali kupoteza mchezo wa ligi kuu kwa mara ya kwanza msimu huu na kuipa Yanga pointi tatu muhimu.
Hata sijaona wala kuusikiliza huo mpira ujue. Wajua nilipo tena.Leo refa kachezesha kwa haki eeh Shadeeya?
Aya bibie kwa leo umesameheka, ila utakapoangalia marudio usisite kuleta maoni yako maana kwenu Wananchi mkishinda ndio refa yupo fair lakini kinyume chake inakua nongwa🤣🤣🤣Hata sijaona wala kuusikiliza huo mpira ujue. Wajua nilipo tena.
Hivyo hata sina kauli kwenye hilo Ses.
Hahahahaaa. Sababu kuna mechi tunastahili kushinda kabisa ila unakuta refa kabisa ndio chanzo cha sisi kutokupata matokeo.H
Aya bibie kwa leo umesameheka, ila utakapoangalia marudio usisite kuleta maoni yako maana kwenu Wananchi mkishinda ndio refa yupo fair lakini kinyume chake inakua nongwa🤣🤣🤣
Ila mkishinda nyie huyo refa mnamuona kama FIFA Referee. Mtamsifia kua kafata sheria zote 17 za soka🤣🤣🤣Hahahahaaa. Sababu kuna mechi tunastahili kushinda kabisa ila unakuta refa kabisa ndio chanzo cha sisi kutokupata matokeo.
Huyu kocha Patrick mnamuonaje uwezo wake endapo tutampata wakuu!! Mi kama nina imani haba hivi
Tuwache. 💃💃💃Ila mkishinda nyie huyo refa mnamuona kama FIFA Referee. Mtamsifia kua kafata sheria zote 17 za soka🤣🤣🤣
Unafikiri mikia inafurahi!! YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEER!!!Ewaaaa. Angalau mana kama nawaona Mikia ambavyo wangechonga.